Mkuuu hongera namsikia namuona wanazindua treniīWamejipanga hawa jamaa naona sasa hivi Ruto anatema madini
jamaa yupo fiti anasema Kenya is rated third most reformed in The world by WB.Watanzania tupo museum tupo taarabuniWamejipanga hawa jamaa naona sasa hivi Ruto anatema madini
Hakika anaongea ukweli wala hamung'unyi maneno na anajiamini na uzuri wanajivunia mambo ambayo wameyafanya toka walivyoshika uongozi..Raila ana kazi sanaMkuuu hongera namsikia namuona wanazindua treniī
jamaa yupo fiti anasema Kenya is rated third most reformed in The world by WB.Watanzania tupo museum tupo taarabuni
Ni muhimu kuacha uhuru wa vyama mf ODM watakuwa na mkutano jmosi nao watatoa hoja zao .tz ntemi system imerudi.Hawa baada ya kuuuana 2008wanaheshimiana sana kwanini nasi tusiwe na siasa safi?Hakika anaongea ukweli wala hamung'unyi maneno na anajiamini na uzuri wanajivunia mambo ambayo wameyafanya toka walivyoshika uongozi..Raila ana kazi sana
Mkuuu hongera namsikia namuona wanazindua treniī
jamaa yupo fiti anasema Kenya is rated third most reformed in The world by WB.Watanzania tupo museum tupo taarabuni
Lakini pia Kenya ina mengi ya kujifunza kwenye siasa zenyu. Nafkiri ndilo Jubilee inajaribu kuborrow kutoka huko. Vyama vya kisias visiwe vya kikabila, viwe ni vyama vya uzalendo, zenye principles.Mosi; Vyama vinaungana na kujenga chama kimoja mfano vyama kumi na moja vimeungana rasmi leo.
Pili; Sisikii vijembe nasikia hoja za maendeleo mfano laptop zitagawiwa kwa wanafunzi wote primary very soon. Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani ,wanalumbana kwa issues. Hakuna kusema siasa isimame au kupangiana nani ahutubie wapi au lini.Katiba yao inaruhusu vyama kuungana bila kudissolve.
Tune citizen watch it live Kenya wanapaa sisi tunakaa.
maneno mengi na ukosefu wa hojaNaona mtoa mada hajui lolote kuhusu siasa za Kenya, anaishia kujidanganya na anachokiona kwenye runinga. Ungejifunza mambo haya: Jubilee= Wamae, Munyui, Kipchumba,Githinji,Ruto n.k. Pia, Cord= Omondi,Odhiambo, Otieno, Abdi,Mohammed,Mutuku,Kalonzo, Mutheu n.k.
"Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani", unatania ama?
Interior CS bans opposition protests, Cord dismisses order
Three killed in Cord demos to eject IEBC
Utani mwingine huu "wanalumbana kwa issues".
Ruto's grip on Kalenjin nation remains firm
My party will not split Kalenjin votes - Governor Ruto
Cord Will Fall Before 2017
One, since the introduction of multi-party politics in 1992 the Presidential vote has been decided on tribal lines. The exception was 2002 and was because the two top candidates were from the same ethnic group. Two, each of these elections has been determined by seven tribes; the Kikuyus, Luyhas, Kalenjins, Luos, Kambas, Kisii and Meru, who together make up 75% of Kenya’s population.
MUTUA: Why Ruto may have to struggle to win Kalenjin vote
Tough task for Ruto: How will he overcome Gema’s fear of an ‘outsider’ president?
Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila kwa asilimia 100 na sio 'issues' kama unavyojidanganya. Wakikuyu wote watamuunga mkono Uhuru hata afanye nini maana ni mkikuyu mwenzao, hivyo hivyo kwa Raila na Wajaluo. Tanzania hatuna chochote cha kujifunza kwenye siasa za Kenya.
Naona mtoa mada hajui lolote kuhusu siasa za Kenya, anaishia kujidanganya na anachokiona kwenye runinga. Ungejifunza mambo haya: Jubilee= Wamae, Munyui, Kipchumba,Githinji,Ruto n.k. Pia, Cord= Omondi,Odhiambo, Otieno, Abdi,Mohammed,Mutuku,Kalonzo, Mutheu n.k.