Jubilee Grand merger live Citizen tv: Tuna cha kujifunza

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Mosi; Vyama vinaungana na kujenga chama kimoja mfano vyama kumi na moja vimeungana rasmi leo.

Pili; Sisikii vijembe nasikia hoja za maendeleo mfano laptop zitagawiwa kwa wanafunzi wote primary very soon. Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani ,wanalumbana kwa issues. Hakuna kusema siasa isimame au kupangiana nani ahutubie wapi au lini.Katiba yao inaruhusu vyama kuungana bila kudissolve.

Tune citizen watch it live Kenya wanapaa sisi tunakaa.
 
Mkuuu hongera namsikia namuona wanazindua treniī

jamaa yupo fiti anasema Kenya is rated third most reformed in The world by WB.Watanzania tupo museum tupo taarabuni
Hakika anaongea ukweli wala hamung'unyi maneno na anajiamini na uzuri wanajivunia mambo ambayo wameyafanya toka walivyoshika uongozi..Raila ana kazi sana
 
Kenya is a Nation we can learn from. Media zao ziko superb and free. Hakuna vitisho kama huko Tanzania. Siasa zao ni hoja sio mabavu ya mapolisi na mikwara kama huku kwetu. Hutaki acha
 
Hakika anaongea ukweli wala hamung'unyi maneno na anajiamini na uzuri wanajivunia mambo ambayo wameyafanya toka walivyoshika uongozi..Raila ana kazi sana
Ni muhimu kuacha uhuru wa vyama mf ODM watakuwa na mkutano jmosi nao watatoa hoja zao .tz ntemi system imerudi.Hawa baada ya kuuuana 2008wanaheshimiana sana kwanini nasi tusiwe na siasa safi?
 
acheni kuifananisha Kenya na vitu vya kijinga
 
Weka kisirani chini dugu, hapo iko kitu kitu kubwa ya kunjifunza!
Si diyo mazee!?
 
Tusipojifunza tutadanganywa kuwa siasa ni mbaya kwa maendeleo'kumbe siasa ni chanzo cha maendeleo wakenya wanatuacha na propapaganda zetu acheni siasa ifanye yake
 
Mkuuu hongera namsikia namuona wanazindua treniī

jamaa yupo fiti anasema Kenya is rated third most reformed in The world by WB.Watanzania tupo museum tupo taarabuni

Nchi ya factories
 
Siasa za Kenya zinaangalia pesa si vyama MWENYE pesa ndo anakamata nchi sio mambo ya kufia vyama tu bali ni pesa. Raila hana chake tena kwa Kenya ni (UHURU 2017 to 2022) then RUTO 2022 na Kuendelea.
 
Kenya iko na uzalendo sana.....wamepitia magumu mengi ila wamesimama I just imagine sisi ndo kungetokea vita vya wenyewe kwa wenyewe mara mashambulio ya kigaidi sijui tungekuwa wapi sahii.....ila kwao ni taifa kwanza na hata viongozi hawana uloho wa madaraka ufisadi mwingi ka sisi......viongozi wengi wa kei ni matajiri na maarufu tayari....wanachotaka ni kuingia tu kwenye history ya taifa ambayo wangependa historia iwaandike kwa mazuri....Mungu bariki Uhuru....Mungu bariki Kenya
 
Mosi; Vyama vinaungana na kujenga chama kimoja mfano vyama kumi na moja vimeungana rasmi leo.

Pili; Sisikii vijembe nasikia hoja za maendeleo mfano laptop zitagawiwa kwa wanafunzi wote primary very soon. Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani ,wanalumbana kwa issues. Hakuna kusema siasa isimame au kupangiana nani ahutubie wapi au lini.Katiba yao inaruhusu vyama kuungana bila kudissolve.

Tune citizen watch it live Kenya wanapaa sisi tunakaa.
Lakini pia Kenya ina mengi ya kujifunza kwenye siasa zenyu. Nafkiri ndilo Jubilee inajaribu kuborrow kutoka huko. Vyama vya kisias visiwe vya kikabila, viwe ni vyama vya uzalendo, zenye principles.
 
Naona mtoa mada hajui lolote kuhusu siasa za Kenya, anaishia kujidanganya na anachokiona kwenye runinga. Ungejifunza mambo haya: Jubilee= Wamae, Munyui, Kipchumba,Githinji,Ruto n.k. Pia, Cord= Omondi,Odhiambo, Otieno, Abdi,Mohammed,Mutuku,Kalonzo, Mutheu n.k.
"Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani", unatania ama?
Interior CS bans opposition protests, Cord dismisses order
Three killed in Cord demos to eject IEBC

Utani mwingine huu "wanalumbana kwa issues".
Ruto's grip on Kalenjin nation remains firm
My party will not split Kalenjin votes - Governor Ruto
Cord Will Fall Before 2017
One, since the introduction of multi-party politics in 1992 the Presidential vote has been decided on tribal lines. The exception was 2002 and was because the two top candidates were from the same ethnic group. Two, each of these elections has been determined by seven tribes; the Kikuyus, Luyhas, Kalenjins, Luos, Kambas, Kisii and Meru, who together make up 75% of Kenya’s population.
MUTUA: Why Ruto may have to struggle to win Kalenjin vote
Tough task for Ruto: How will he overcome Gema’s fear of an ‘outsider’ president?

Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila kwa asilimia 100 na sio 'issues' kama unavyojidanganya. Wakikuyu wote watamuunga mkono Uhuru hata afanye nini maana ni mkikuyu mwenzao, hivyo hivyo kwa Raila na Wajaluo. Tanzania hatuna chochote cha kujifunza kwenye siasa za Kenya.
 
maneno mengi na ukosefu wa hoja
 
unatoa mharisho wa vijimaneno kujifanya political expert on kenya issues but hunaufahamu hata kidogo. Ongelea kuhusu Dictator mpya Afrika anayechipukia Bwana John Pombe Magufuli na mada kuu ya nchi ya viwanda.......hapo nakupa usiku kucha kuhadithia........
 
Na hii picha inatoa fundisho kubwa sana kwa mtukufu aliye juu kuliko wote Rais
 
Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    317.8 KB · Views: 54
Back
Top Bottom