Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Mosi; Vyama vinaungana na kujenga chama kimoja mfano vyama kumi na moja vimeungana rasmi leo.
Pili; Sisikii vijembe nasikia hoja za maendeleo mfano laptop zitagawiwa kwa wanafunzi wote primary very soon. Hakuna bugudha ya vyombo vya dola kwa vyama pinzani ,wanalumbana kwa issues. Hakuna kusema siasa isimame au kupangiana nani ahutubie wapi au lini.Katiba yao inaruhusu vyama kuungana bila kudissolve.
Tune citizen watch it live Kenya wanapaa sisi tunakaa.