Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maxinsurance na jubelee.wako poa na hata ikitokea ishu wanalipa kwa haraka.Speed ya malipo ipoje..na Contract huwa zinasemaje?
contract ziko za kawaida kama kuangalia sum insured kulingana na thamani ya gari .ajali imefikia asilimia ngapi ya thamani ya gari ?sio ata taa ya indicator inapasuka kidogo tu unakimbilia wakulipe ,hawawez kucover hiyo loss.umekata bima ya gari kutumika Tanzania ukaenda nalo Kenya apo insurance they will not be liable for the loss.umeendesha uku umelewa they will not be liable for the loss,umezidisha uzito wa gari they will not be liable for the loss.na sasa wamekua makini kuna jamaa walikua wakitumia gari muda flani wanajipatisha ajali ili walipwe jipya maana wanakua wamekata comprehensive cover .kikubwa ukienda soma vizuri mikataba yao..terms and conditionSpeed ya malipo ipoje..na Contract huwa zinasemaje?
Wanalipa ikifikia asilimia ngap ya garicontract ziko za kawaida kama kuangalia sum insured kulingana na thamani ya gari .ajali imefikia asilimia ngapi ya thamani ya gari ?sio ata taa ya indicator inapasuka kidogo tu unakimbilia wakulipe ,hawawez kucover hiyo loss.umekata bima ya gari kutumika Tanzania ukaenda nalo Kenya apo insurance they will not be liable for the loss.umeendesha uku umelewa they will not be liable for the loss,umezidisha uzito wa gari they will not be liable for the loss.na sasa wamekua makini kuna jamaa walikua wakitumia gari muda flani wanajipatisha ajali ili walipwe jipya maana wanakua wamekata comprehensive cover .kikubwa ukienda soma vizuri mikataba yao..terms and condition
kuna ishu wanaangalia kwanza kama ni total loss au partial loss.sasa apo inakua pia kuangalia una bima third party au comprehensive.kama ni comprehensive basi unalipwa vyote vile umepata ajali ata kama limeungua au kuibiwa au limepata ajali lots.na wanakata asilimia 3.5 ya thamani yote ya gari plus vat.hiyo ndo inakua premium utakayotoa.Wanalipa ikifikia asilimia ngap ya gari