Jubilee Insurance ya Magari

Jubilee Insurance ya Magari

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Wajuvi tafadhali. Naomba fahamu hawa jamaa vp kwenye ulipaji wa madai..ninataka kujiunga nao baada ya kutendwa sehemu.
If unahisi hawako vzuri..naomba ushauri nijiunge wapi?
 
Ulitendwaje na nani? Hebu tuelezee tusiingie mkenge wengine huku
 
wako vizuri.kama ajali unastaili kulipwa hawasumbui.tatizo watu wengi hawasomagi vizuri contract zao wakaelewa mwisho wa siku unaambiwa apa hatuwezi kukulipa unaona umeonewa
 
Speed ya malipo ipoje..na Contract huwa zinasemaje?
 
contract ziko za kawaida kama kuangalia sum insured kulingana na thamani ya gari .ajali imefikia asilimia ngapi ya thamani ya gari ?sio ata taa ya indicator inapasuka kidogo tu unakimbilia wakulipe ,hawawez kucover hiyo loss.umekata bima ya gari kutumika Tanzania ukaenda nalo Kenya apo insurance they will not be liable for the loss.umeendesha uku umelewa they will not be liable for the loss,umezidisha uzito wa gari they will not be liable for the loss.na sasa wamekua makini kuna jamaa walikua wakitumia gari muda flani wanajipatisha ajali ili walipwe jipya maana wanakua wamekata comprehensive cover .kikubwa ukienda soma vizuri mikataba yao..terms and condition
 
Wanalipa ikifikia asilimia ngap ya gari
 
Wanalipa ikifikia asilimia ngap ya gari
kuna ishu wanaangalia kwanza kama ni total loss au partial loss.sasa apo inakua pia kuangalia una bima third party au comprehensive.kama ni comprehensive basi unalipwa vyote vile umepata ajali ata kama limeungua au kuibiwa au limepata ajali lots.na wanakata asilimia 3.5 ya thamani yote ya gari plus vat.hiyo ndo inakua premium utakayotoa.
 
Back
Top Bottom