Hehe
Sammuel999, imekuuma sana mkisii mwenzako Matia'ngi hamuungi mkono Raila eeh? Afadhali Jubilee tunafanya maombi, hiyo ni katikati yetu na Mungu wetu. Bado Raila hajawapeleka nyinyi watoto wake kwa wachawi mkanyunyuziwe damu ya kuku mweusi? Maneno ni maneno tu. Hadi sasa hivi sijaona wafuasi wa Jubilee wakitupa mawe na kuharibu mali na kuwapora dada zetu mchana kweupe tena katikati ya Nairobi! Mbona Raila hawaambii wafuasi wake wafanye maandamano ya amani, bila wizi na uharibifu wa mali ya wenyewe? Mkizuia mtu kupiga kura mnangoja nini? Mtakiona cha moto. Wewe mwenyewe umehudhuria maandamano ngapi ya NASA? Au kazi ni kulialia tu hapa jf? Muoga wewe, tarehe 26 nenda kazuie watu kupiga kura ufe kwasababu ya mungu wenu Raila wakati yeye atakuwa pale Hilton akila vitumbua na kubugia sharubati.