Quickly
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,056
- 649
kweli kabisa. Wasomi wengi nchini Kenya ni watu wasio na maadili na hawaaminiki. Both sides. Kenya is full of dishonest characters. Labda UN waendeshe hii shughuli.Jameni hii nchi sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli na ubabe, haya naomba uchaguzi uendeshwe na watu wa kutoka nje ya nchi. Kama vipi waitwe watu kutoka mbali kama vile Vietnam, Cambodia, Jamaica n.k. Hata tusiwahusishe majirani maana mtaishia kusema Watanzania na Waganda wanaegemea milengo iliyopo.