Jubilee wakataa maafisa wapya walioteuliwa kwa ajili ya kusiamamia uchaguzi

Jubilee wakataa maafisa wapya walioteuliwa kwa ajili ya kusiamamia uchaguzi

Jameni hii nchi sasa ni mwendo wa kutunishiana misuli na ubabe, haya naomba uchaguzi uendeshwe na watu wa kutoka nje ya nchi. Kama vipi waitwe watu kutoka mbali kama vile Vietnam, Cambodia, Jamaica n.k. Hata tusiwahusishe majirani maana mtaishia kusema Watanzania na Waganda wanaegemea milengo iliyopo.
kweli kabisa. Wasomi wengi nchini Kenya ni watu wasio na maadili na hawaaminiki. Both sides. Kenya is full of dishonest characters. Labda UN waendeshe hii shughuli.
 
kweli kabisa. Wasomi wengi nchini Kenya ni watu wasio na maadili na hawaaminiki. Both sides. Kenya is full of dishonest characters. Labda UN waendeshe hii shughuli.

Hata watu wa dini wamepotea njia, unakuta na wao wameegema kila mmoja na mlengo wake na humwambii kitu. Hao ndio tungewaomba wasimamie maana tunategemea kidogo watakua na maadili ambayo wanahubiri kwenye makanisa na misikitini, lakini leo hii wamejiingiza kwenye hizi siasa za kikabila na kushobokea viongozi hadi wamemsahau Mungu.
Nchi hii tusipokua makini tutatumbukia kwenye shimo lenye kiza na lisilokua na mwisho wake.
 
Back
Top Bottom