Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

Jubilee Wamesha Vuruga Katiba Ya Kenya

Yote haya tunayojadiliana hapa kwa kifupi yanajulikana kama Constitutional crisis, yaani mkanganyiko wa kikatiba, ni jambo baya sana kama nchi itakumbwa na mkanganyiko wa kikatiba, kwa sababu nchi inapoteza dira kwa kukosa mwelekeo, kila mtu anatafsiri na kufanya kuvyake, kama swala hili halitoshughulikiwa mapema, jeshi linaweza kuchukua nchi na kuiongoza kwa muda hadi muafaka kamili utakapofikiwa
 
Polisi wanaua with impunity, halafu bado kuna wajinga hapa wanajisifia demokrasia, demokrasia gani wakati wanauana kama mbuzi vile, hawa watu wana matatizo makubwa.
Kenya wanatatizo hilo la kupenda kujisifia, kiasi kwamba wanajisahau kushughulikia mambo ya msingi yanayoikabili nchi yao kwa kuyafunika ili kuonyesha dunia kwamba mambo nchini mwao ni mazuri, kuna methali ya kiswahili inayosema"Mficha maradhi kilio kitamfichua", KEnya kwa muda mrefu imekua ikificha mardha, sasa hivi kilio ndiyo kinawafichua.
 
Si Rwanda, Tz au Uganda ambayo wakati wa uchaguzi raia zaidi ya 50 wanauliwa na polisi, Polisi wanaua watoto hakuna anayeongea, wanapiga mabomu hadi watoto wa chekechea, hivi kweli Kenya na mauaji yote haya bado wananchi wanachekelea na kujiita wana demokrasia?
 
Hii ndio inatia uchungu aisee, watu kuuwawa kisa siasa si jambo jema kabisa. Nakimbuka wafuasi wa CUF Zanzibar waliuwawa ndani ya mikono ya polisi miaka ya 1990's, Tanzania ilitembea dunia nzima kuomba samahani na kuaidi hayata rudia tena.
 
Hilo ndiyo jambo la ajabu sana, Kenya wangekuwa watu makini wasingekubali kuacha mauaji ya 2007 yaishie kimyakimya bila hata mtu mmoja kuwajibishwa, badala ya kutumia pesa na ndugu za serikali kuwatafuta waliousika na mauaji yale, wao walitumia nguvu nyingi kuwatetea waliotuhumiwa na mauaji, waliposhinda kesi, nchi ilisherehekea kama vile imepata Uhuru toka kwa wakoloni, walibadili ajenda badala ya kuzungumzia watu waliokufa, wakaanza kuzungumzia watu waliotuhumiwa, kwa sababu tu waliokufa ni watu masikini, na waliotuhumiwa ni matajiri, typical capitalistic mentality. Kwa kitendo kile cha kutowatafuta wahusika waliofanya mauaje yale, Kenya lazima ilipe kwa kumwaga damu zaidi, Kenya haitopata amani tena, hatuwaombei mabaya, ila wanastahili.
 
Hii ndio inatia uchungu aisee, watu kuuwawa kisa siasa si jambo jema kabisa. Nakimbuka wafuasi wa CUF Zanzibar waliuwawa ndani ya mikono ya polisi miaka ya 1990's, Tanzania ilitembea dunia nzima kuomba samahani na kuaidi hayata rudia tena.
He, eti 1990's ...juzi juzi tu mmetuonyesha vile polisi pamoja na jeshi ni wanyama kupindukia, kutoka kwa kubaka watoto Kule drc, operation tokomeza.

No title(222).jpg
httphyperallergic_comwp-contentuploads201606OperationTokomeza-288x180.jpg

Tofauti ni kwamba wananchi wa Tz wamenueshewa sana miaka kwenda miaka rudi Tangu siku za maji maji hadi hio miaka ya 1990's kiasi cha kuwa wazazi wamerithisha watoto uoga wa kupigania haki na wanachokiamini kuwa sawa.
Ukweli ni kwamba upinzani Tz hauwezi ukafanya vile upinzani kenya unafanya, kwanza vituo vya Jabari vitakavyo patia airtime upinzani vitafungwa, hakutakua na hata picha moja itakayoonyesha maandamano kwa social media, alafu wananchi wenyewe watakua waoga kujitokeza kumpinga magu wazi wazi.... Hata wale anti-riot police hawatakua na kazi manake wananchi wenyewe waoga kama nini
 
He, eti 1990's ...juzi juzi tu mmetuonyesha vile polisi pamoja na jeshi ni wanyama kupindukia, kutoka kwa kubaka watoto Kule drc, operation tokomeza.

View attachment 610029 View attachment 610030

Tofauti ni kwamba wananchi wa Tz wamenueshewa sana miaka kwenda miaka rudi Tangu siku za maji maji hadi hio miaka ya 1990's kiasi cha kuwa wazazi wamerithisha watoto uoga wa kupigania haki na wanachokiamini kuwa sawa
Toka lini Tanzania imekuwa DRC? Ukiongelea Tanzania uje na ushahidi unaoeleweka. Cha kushangaza ni pale watu walio husishwa moja kwa moja na mauwaji ya wananchi wa Kenya zaidi ya 1,000 na kuwapotezea makazi wengine wengi, leo hii ni watu wanaoingoza Kenya. Huku watu kama wewe unawapigia debe eti tano tena, ni aibu kubwa sana.
 
Inasemekana rais Uhuru Kenyatta ameshaweka saini na kukubali mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, na kufanya chama chake na yeye kushinda uchaguzi ujao.

BTW kama ni kweli kwamba jubelee wameweka sheria inayo kiuka maadili ya katiba basi mda si mrefu Mahakama itapindua hio sheria hata baada ya rais kutia sign, kumbuka ile sheria ya anti-Terror iliyopitishwa na jubelee wakati ule alshabaab walikua wamezidi , baada ya kutiwa sign na rais, Mahakama ilifuta vipengee hivyo vya Sheria.

wp_ss_20171015_0001.png
wp_ss_20171015_0002.png
wp_ss_20171015_0003.png
wp_ss_20171015_0001.png
wp_ss_20171015_0002.png
wp_ss_20171015_0003.png
 
Back
Top Bottom