Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,133
- 3,758
Lichama langu ndiounayaona ya Kenya mbona ya lichama lako CCM huoni?
maana ndio linalo tawala nchi na kunifanya nijisikie Furaha kuishi Duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lichama langu ndiounayaona ya Kenya mbona ya lichama lako CCM huoni?
Lissu hanihusu mieShugulika na Tundu Lissu, ya Kenya Huyawezi.
Ya kwetu pia hayakuhusu.Lissu hanihusu mie
Kenya is becoming a truly failed stateHii ni aibu kwa polisi kufanya huu unyama, hata kama huyo kijana mhalifu, polisi hawatakiwi kujichukulia sheria mkononi. Kenya hiyo demokrasia mnayozungumza ipo wapi kama mnauana na kupigana namna hii.
Polisi wanaua with impunity, halafu bado kuna wajinga hapa wanajisifia demokrasia, demokrasia gani wakati wanauana kama mbuzi vile, hawa watu wana matatizo makubwa.Kenya is becoming a truly failed state
Kenya wanatatizo hilo la kupenda kujisifia, kiasi kwamba wanajisahau kushughulikia mambo ya msingi yanayoikabili nchi yao kwa kuyafunika ili kuonyesha dunia kwamba mambo nchini mwao ni mazuri, kuna methali ya kiswahili inayosema"Mficha maradhi kilio kitamfichua", KEnya kwa muda mrefu imekua ikificha mardha, sasa hivi kilio ndiyo kinawafichua.Polisi wanaua with impunity, halafu bado kuna wajinga hapa wanajisifia demokrasia, demokrasia gani wakati wanauana kama mbuzi vile, hawa watu wana matatizo makubwa.
Si Rwanda, Tz au Uganda ambayo wakati wa uchaguzi raia zaidi ya 50 wanauliwa na polisi, Polisi wanaua watoto hakuna anayeongea, wanapiga mabomu hadi watoto wa chekechea, hivi kweli Kenya na mauaji yote haya bado wananchi wanachekelea na kujiita wana demokrasia?Kenya wanatatizo hilo la kupenda kujisifia, kiasi kwamba wanajisahau kushughulikia mambo ya msingi yanayoikabili nchi yao kwa kuyafunika ili kuonyesha dunia kwamba mambo nchini mwao ni mazuri, kuna methali ya kiswahili inayosema"Mficha maradhi kilio kitamfichua", KEnya kwa muda mrefu imekua ikificha mardha, sasa hivi kilio ndiyo kinawafichua.
Hii ndio inatia uchungu aisee, watu kuuwawa kisa siasa si jambo jema kabisa. Nakimbuka wafuasi wa CUF Zanzibar waliuwawa ndani ya mikono ya polisi miaka ya 1990's, Tanzania ilitembea dunia nzima kuomba samahani na kuaidi hayata rudia tena.Si Rwanda, Tz au Uganda ambayo wakati wa uchaguzi raia zaidi ya 50 wanauliwa na polisi, Polisi wanaua watoto hakuna anayeongea, wanapiga mabomu hadi watoto wa chekechea, hivi kweli Kenya na mauaji yote haya bado wananchi wanachekelea na kujiita wana demokrasia?
Hilo ndiyo jambo la ajabu sana, Kenya wangekuwa watu makini wasingekubali kuacha mauaji ya 2007 yaishie kimyakimya bila hata mtu mmoja kuwajibishwa, badala ya kutumia pesa na ndugu za serikali kuwatafuta waliousika na mauaji yale, wao walitumia nguvu nyingi kuwatetea waliotuhumiwa na mauaji, waliposhinda kesi, nchi ilisherehekea kama vile imepata Uhuru toka kwa wakoloni, walibadili ajenda badala ya kuzungumzia watu waliokufa, wakaanza kuzungumzia watu waliotuhumiwa, kwa sababu tu waliokufa ni watu masikini, na waliotuhumiwa ni matajiri, typical capitalistic mentality. Kwa kitendo kile cha kutowatafuta wahusika waliofanya mauaje yale, Kenya lazima ilipe kwa kumwaga damu zaidi, Kenya haitopata amani tena, hatuwaombei mabaya, ila wanastahili.Si Rwanda, Tz au Uganda ambayo wakati wa uchaguzi raia zaidi ya 50 wanauliwa na polisi, Polisi wanaua watoto hakuna anayeongea, wanapiga mabomu hadi watoto wa chekechea, hivi kweli Kenya na mauaji yote haya bado wananchi wanachekelea na kujiita wana demokrasia?
Nimechangia mada maana Jf kila mtu yu huruYa kwetu pia hayakuhusu.
Asanti sana....now bend over please.Nimechangia mada maana Jf kila mtu yu huru
Asante sio asantiAsanti sana....now bend over please.
Asante Tena sasa bend over once again.Asante sio asanti
HongeraAsante Tena sasa bend over once again.
He, eti 1990's ...juzi juzi tu mmetuonyesha vile polisi pamoja na jeshi ni wanyama kupindukia, kutoka kwa kubaka watoto Kule drc, operation tokomeza.Hii ndio inatia uchungu aisee, watu kuuwawa kisa siasa si jambo jema kabisa. Nakimbuka wafuasi wa CUF Zanzibar waliuwawa ndani ya mikono ya polisi miaka ya 1990's, Tanzania ilitembea dunia nzima kuomba samahani na kuaidi hayata rudia tena.
Toka lini Tanzania imekuwa DRC? Ukiongelea Tanzania uje na ushahidi unaoeleweka. Cha kushangaza ni pale watu walio husishwa moja kwa moja na mauwaji ya wananchi wa Kenya zaidi ya 1,000 na kuwapotezea makazi wengine wengi, leo hii ni watu wanaoingoza Kenya. Huku watu kama wewe unawapigia debe eti tano tena, ni aibu kubwa sana.He, eti 1990's ...juzi juzi tu mmetuonyesha vile polisi pamoja na jeshi ni wanyama kupindukia, kutoka kwa kubaka watoto Kule drc, operation tokomeza.
View attachment 610029 View attachment 610030
Tofauti ni kwamba wananchi wa Tz wamenueshewa sana miaka kwenda miaka rudi Tangu siku za maji maji hadi hio miaka ya 1990's kiasi cha kuwa wazazi wamerithisha watoto uoga wa kupigania haki na wanachokiamini kuwa sawa
Inasemekana rais Uhuru Kenyatta ameshaweka saini na kukubali mabadiliko ya sheria ya uchaguzi, na kufanya chama chake na yeye kushinda uchaguzi ujao.