Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Judgment Day: May 21, 2011 (Really?)

Mimi ndio nimeamka, hapa nina hang over ya ukwel naenda kusaka supu hapa. DUNIA YETU NI ILE ILE HAKUNA KIKOMO!
 
Mimi toka usiku (saa 6) sijazima comp, naagalia nchi za mashariki zinzvyozimika- lakini sijaona. Ngoja sasa niende kwa mangi nikale supu.
 
kuna wale waliokuja na kauli ya ponda mali kufa kwaja, watujuze maisha yanaendeleaje leo?
 
Hao ni ndugu zake Kibwetere wa Uganda. Na kila mmoja akeshe na kuomba maana hajui siku wa saa.
 
Hakuna anaejua siku wala saa wa siku atayokuja Bwana Yesu kunyakua wateule ila BABA (MUNGU) peke yake hata MWANA (YESU KRISTO) hajui. Msidanganyike na manabii wa uongo. hizi ni dalili tu za mwisho kwani Yesu alifundisha kuwa siku za mwisho kutatokea manabii wa uongo.
Zimebakia saa kama nne hivi dunia ihukumiwe. Umetubu dhambi?
 
eti nimeitwa na wenzangu tukafanye assignment.... nimewajb hamnazo nini! yaani kazi tulizompa mungu kutuonga duniani haitoshi? bado tena twende na mi-assignment mbinguni asahihishe au! mi mawazo ss hv ni kwa God tu.
 
Hahhahaaa, watu wanapenda kutishiana bana, haya ngoja wasabato wawasikie muone mtakavyopewa aya hapa.....kuanzia mathew 24 na kuendelea...maana hakuna aijuaye saa, wala siku...hata Mwana ila baba aliye mbinguni peke yake.........................
 
Leo ni Tarehe 21/May/2011! Mwisho wa Dunia ni Saa Ngapi wandugu naomba mniambie kwa waliouona huo mwisho wa dunia.
 
jamani tunaondoka saa ngapi....mbona bado tupo....nimechoka kusubiri
 
jamani tunaondoka saa ngapi....mbona bado tupo....nimechoka kusubiri
Mbona mie nishafika tayari mbinguni, Nipo na Pope John Paulo hapa tunapata mambo yetu yale, Mama Teresa anaandaa mchemsho. Hebu kuja huku banaa!!
 
Kesho wadau ni mwisho wa nyakati, jipime hapa! will-you-be-raptured-flowchart1_01.jpg
 
Sikujua kuwa mwisho wa dunia umeahirishwa.
Mi nlidhani leo kumbe kesho?
Sasa itabidi kamati ya kuratibu mwisho wa dunia iwe inatupa updates, wakikaa kimya sana wanatuumiza matumbo sisi watakatifu wa infidelity, pombe na anasa.
Si unajua tena ngojangoja yaumiza matumbo na sisi tuna hamu ya Paradiso?
 
Kesho wakuu, mida ya saa 6 dk6 alfajiri: CONFIRMED!
 
Sikujua kuwa mwisho wa dunia umeahirishwa.
Mi nlidhani leo kumbe kesho?
Sasa itabidi kamati ya kuratibu mwisho wa dunia iwe inatupa updates, wakikaa kimya sana wanatuumiza matumbo sisi watakatifu wa infidelity, pombe na anasa.
Si unajua tena ngojangoja yaumiza matumbo na sisi tuna hamu ya Paradiso?

Mzee umeconfirm na chati hapo juu?.....tusije kukuacha nyuma mkuu, tunakuhitaji sana huko paradise! lol
 
Back
Top Bottom