kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,105
Binti machozi,Komando..........
Usituaminishe ujinga!!
Au tshala muana ni mwanaume!!
Ha! Kumbe zisiizi 2019!!?
Mi nimesikia auto tune ya mapambo mwanzo mwisho.
Dah kuwashinda kinaNilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima
Kwanza ana sauti nzuri
Ana uandishi mzuri
Anaweza kuimba aina nyingi sana za muziki
Kwa kweli huyu kwangu ni msanii bora wa kike barani Afrika
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuwashinda kina
Brenda Fassie
Mahotela Queens
Mbilia Beli
Etc?
Jr[emoji769]