Judith Wambura (Lady Jay Dee).

Judith Wambura (Lady Jay Dee).

kanali mstaafu

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
4,318
Reaction score
4,105
Nilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima
Kwanza ana sauti nzuri
Ana uandishi mzuri
Anaweza kuimba aina nyingi sana za muziki
Kwa kweli huyu kwangu ni msanii bora wa kike barani Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio Afrika tu, ni Dunia nzima, yaani hata wakina Lady Gaga na Beyonce watasubiri sana
 
Mi nimesikia auto tune ya mapambo mwanzo mwisho.
 
Nilikuwa napitapita youtube mara nikakutana na audio ya wimbo wake inaitwa I DONT CARE...nimegundua huyu dada ana kipaji kikubwa sana kwa hii Afrika mashariki hata Afrika nzima
Kwanza ana sauti nzuri
Ana uandishi mzuri
Anaweza kuimba aina nyingi sana za muziki
Kwa kweli huyu kwangu ni msanii bora wa kike barani Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuwashinda kina
Brenda Fassie
Mahotela Queens
Mbilia Beli
Etc?

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom