Mkuu huyu LEIVAN ni yule wa Dabiliyuu-siibii?Sauti ya huyu dada sio ya kurembwa na auto tune...yaani sauti ya kiba, belle 9 na Jide huwa ni original hazipakwi maurembo kama akina LEIVANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah kuwashinda kina
Brenda Fassie
Mahotela Queens
Mbilia Beli
Etc?
Jr[emoji769]
yes am serious. ni huruma tu ya wananchi. Hili liko wazi watafute wataalam wa muziki watakwambia.
Sauti ya huyu dada sio ya kurembwa na auto tune...yaani sauti ya kiba, belle 9 na Jide huwa ni original hazipakwi maurembo kama akina LEIVANI
Sent using Jamii Forums mobile app
Man, huu wimbo unaosifia ni auto tune tupu. Labda hujui maana ya auto tune
Auto-tune ni audio processors inayotengeneza kiteknolojia kuongeza alter pitch za vocal na instrumental kwenye kurekodi muziki. Karibu sana.
Duu nyimbo zake ni nzuri.
Sema anaimba kama kwaya.
Afu huwa anapayuka. Arekebishe sana sauti yake ivutie.
Out of subject. Anyway, Jide ni flat singer, hawezi kugonga zile high notes kama anavyofanya Ruby