Judith Wambura (Lady Jay Dee).

Duu nyimbo zake ni nzuri.
Sema anaimba kama kwaya.
Afu huwa anapayuka. Arekebishe sana sauti yake ivutie.
Ha ha ha!
Ana sauti nzuri sema tu nyimbo zake nyingi (90%) zinabeba ujumbe wa malalamiko, tuhuma, masikitiko, vijembe, kujihami na kuonewa siku zote. Siamini kama ni style yake ya kufikisha ujumbe kupitia nyimbo au anaigiza tu.
Jaribu kusikiliza nyimbo kama:
Siwema, Siku hazigandi, Joto hasira, Siri yangu, Wanaume kama mabinti ...
 

Kwa hyo tuseme jumbe zake ndo zinaboa??


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha najua hua ana maudhui ya kulalamika lakini sauti yake haina substance. Yaani anakwendaaa monotonous akipanda noti ana payuka. Yaaani ukikaa ukasikiliza wimbo wake wote kwa muda mrefu utaanza kuona kero.
Angejirekebisha kwasababu sekta nyingine yupo vizuri ana potential ya kufanya makubwa zaidi.
 
Mkuu Jide anaelekea ukingoni, hiyo potential ya kufanya makubwa sidhani kama bado ipo
 
Uyo mwanamke sio mwanamuziki,ni mwimba kwaya
 
Mkuu Jide anaelekea ukingoni, hiyo potential ya kufanya makubwa sidhani kama bado ipo
Ipo sana tu. Ndo kwanzaa yupo kwenye 40s, watu wanaimba mpaka wakiwa na 60s huko.
Miaka 20 sio mchezo
 
Au labda tunatofautiana sikio la muziki. yaani mm Ruby huwa naona ndo kabisa ana sauti kali ambapo akiimba hana melody... hawez kuimba ame-relax
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Ruby mpangilio wa sauti hajui.
Tatizo watu wengi wakimsikia ana payuka ndo wanahisi anaimba vizuri hata kama anatutoa masikio damu.
Ana sauti nzuri ila asipayuke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…