... I trust yule Mkurugenzi wa Jiji la Dar kipindi kile "aliyesagiwa kunguni" hadharani na Bashite live, mtumbuliwa wa kwanza, jipu la kwanza, aliyepelekea maneno tumbua na jipu kujipatia umaarufu, aliyepelekea kichwa cha jamaa kuvimba na kujiona yeye ni alfa na omega, angekuwa hai, mama angemfuta machozi.
Alikua anaitwa Wilson Kabwe