The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Kwa hiyo kuwa husler kwake kunatuhusu nini sisi?Ni hustler
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kuwa husler kwake kunatuhusu nini sisi?Ni hustler
Wewe nafikiri ulitumbuliwa cheti feki maana hata kumbukumbu huna.
Nikuulize magufuli amekua waziri miaka 20 na waziri bora kwa kusimamia ujenzi network ya lami nchi nzima. Sasa yeye na wewe nani mjinga?
Maraisi waliomteua walijua anastahili..Hakustahili kuwa rais, alikuwa na busara ndogo sana na akili ya kuweza kumudu cheo cha urais. Huko huko kwenye miundombinu ndio ilipaswa kuwa nafasi yake ya mwisho. Hiyo miundombinu alisimamia na alikuwa waziri bora kwa vigezo vyao, sio lazima awe bora kwa kila mtu.
Kwahiyo mnakubali kuwa Samia ni boya tu mtawala yuko Msoga !
Maraisi waliomteua walijua anastahili..
wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hujawah kuwa nao utajua wapi uongozi.
Huwezi ukawa raisi hata ukitaka ubalozi..Sifa ya hao marais waliomteua sio ubora wao bali ni nafasi zao. Ingekuwa amechaguliwa na watu wenye ubora hapo Ingekuwa sawa. Mimi sijawahi kutaka kuwa kiongozi, na hata kama ningekuwa nisingekuwa na kiburi cha madaraka cha aina yake.
Huwezi ukawa raisi hata ukitaka ubalozi..
Magufuli kukela mtu mmoja kama wewe hiyo ni nzuri sana kwenye uongozi.
Kinachofurahisha ni jinsi Sukuma GANG mmekua Nyoka alopondwa kichwa , mnarusha tu mkia.Alikua dhulumati na muonevu kwa wapenda vya kunyonga na sio wapenda vya kuchinja. 🙄
Kauli za aina hii ndizo zilizopelekea kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya majambazi.Waziri anaunda tume kwa uamuzi binafsi kumchunguza mkuu wa mkoa! Anatoa wapi hayo madaraka? .. kama si ulevi au kutoelewa ukomo wa madaraka yake.
Hata ungetamani..Wala sitamani kuwa hata balozi, achia mbali huo urais. Amenikera mimi mwenyewe, angeacha matokeo halisi ya kwenye uchaguzi ndio ungejua hujui.
Kila mtu ana haki ya kuchagua serikali yake,hivyo acheni uchuroUkiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Wafiwa mliamini maneno ya kufarijiwa, kwa pole ya mimi na Magufuli ni kitu kimoja.Anafanya uponyaji kama hawa askofu na mitume feki wenye kuponya kila ugonjwa 😂😂
2025 watajifunza kuwa watanzania wa sasa siyo wale wa zamani.Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Nyie mnaijua ccm?Wafiwa mliamini maneno ya kufarijiwa, kwa pole ya mimi na Magufuli ni kitu kimoja.
Kusoma hujui ,hata picha uioni basi.
Nani awe kitu kimoja na Kichaa mkubwa yule. Sukuma GANG mnapondwa kibwege kwa kua hamuijui CCM. 😃😄😀
Huyo mafuru ni mfano mwingine mama kuwarejesha waliyotumbuliwa na jpm. Hata kama alisusa na nadhani ni mtu anapelekeshwa na akili ya mtu au watu. Tutashuhudia regression ya mafanikio ya magufuli hasa nchi kujiamini na kufanya juhudi za kujitegemea.Kuna jamaa anaitwa MAFURU huyu alitumbuliwa na Magufuli alipokuwa Treasury Registrar na sasa Samia amemrudisha hazina kama Naibu Katibu Mkuu!!!
Ule uvumi kuwa huyu mama kuna wakati akiwaVice president alighairi kazi akapanda boti Mpaka kwao ikabidi wazee wa visiwani wamrudishe kwa nguvu; naanza kuuamini!! Sijui Jiwe alimfanya nini?
Inaelekea kiuhalisia hawakuwa na uhusiano mzuri Kikazi ingawa nje walitaka watu wasilijue hilo.