... I trust yule Mkurugenzi wa Jiji la Dar kipindi kile "aliyesagiwa kunguni" hadharani na Bashite live, mtumbuliwa wa kwanza, jipu la kwanza, aliyepelekea maneno tumbua na jipu kujipatia umaarufu, aliyepelekea kichwa cha jamaa kuvimba na kujiona yeye ni alfa na omega, angekuwa hai, mama angemfuta machozi.
Anafanya uponyaji kama hawa askofu na mitume feki wenye kuponya kila ugonjwa 😂😂
Ambao unaamini ni wazuri na hawaja pata nafasi waajiri, siunaona utakuwa umelamba dume?Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competancy yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Kabwe... I trust yule Mkurugenzi wa Jiji la Dar kipindi kile "aliyesagiwa kunguni" hadharani na Bashite live, mtumbuliwa wa kwanza, jipu la kwanza, aliyepelekea maneno tumbua na jipu kujipatia umaarufu, aliyepelekea kichwa cha jamaa kuvimba na kujiona yeye ni alfa na omega, angekuwa hai, mama angemfuta machozi.
Kila Rais ana uhuru wa kuchagua watakao msaidia kufanya kufanya kazi. Mbona mnapenda kuturudisha nyuma- inatakiwa tutizame mbele. Nyuma ni historia. Watu tumeumbwa kuwa na uwezo wa kubadilika chanya au hasi. Kazi ziendelee- Waziri anaanzisha tume ya uchunguzi, kuchunguza kitu kiovu- unamtimua kazi- huo ni Uongozi au ni Uonevu mkubwa.Ambao unaamini ni wazuri na hawaja pata nafasi waajiri, siunaona utakuwa umelamba dume?
Wewe nafikiri ulitumbuliwa cheti feki maana hata kumbukumbu huna.Magufuli sio kipimo cha utawala bora hapa nchini, na ni kiongozi mjinga tu anaweza kufanya maamuzi yake ya kufuata alichokuwa anaamini Magufuli. Magufuli sifa yake kubwa alikuwa ni mchapakazi kazi asiyetumia akili, na aliendeshwa na roho la uharibifu, chuki na visasi. Bora waingie hawa wezi wanaoiba wakitabasamu, kuliko wezi wa enzi ya Magufuli waliokuwa wamejazwa viburi vya madaraka na uuaji. Kwetu ni bora hili zimwi la Msoga line, kuliko hao sukuma gang chini ya yule muovu aliye motoni.
Zitafsiriwe kama mkakati chanya🤔.Wewe nafikiri ulitumbuliwa cheti feki.
Kwahiyo mnakubali kuwa Samia ni boya tu mtawala yuko Msoga !Magufuli sio kipimo cha utawala bora hapa nchini, na ni kiongozi mjinga tu anaweza kufanya maamuzi yake ya kufuata alichokuwa anaamini Magufuli. Magufuli sifa yake kubwa alikuwa ni mchapakazi kazi asiyetumia akili, na aliendeshwa na roho la uharibifu, chuki na visasi. Bora waingie hawa wezi wanaoiba wakitabasamu, kuliko wezi wa enzi ya Magufuli waliokuwa wamejazwa viburi vya madaraka na uuaji. Kwetu ni bora hili zimwi la Msoga line, kuliko hao sukuma gang chini ya yule muovu aliye motoni.
Sasa yupo kwenye tuition center yake anawanoa wanakijani wanaoutolea macho uspika. 🤸.Daa nimecheka sana .Eti shule ya polepole imefungwa.
Waziri anaunda tume kwa uamuzi binafsi kumchunguza mkuu wa mkoa! Anatoa wapi hayo madaraka? .. kama si ulevi au kutoelewa ukomo wa madaraka yake.Kila Rais ana uhuru wa kuchagua watakao msaidia kufanya kufanya kazi. Mbona mnapenda kuturudisha nyuma- inatakiwa tutizame mbele. Nyuma ni historia. Watu tumeumbwa kuwa na uwezo wa kubadilika chanya au hasi. Kazi ziendelee- Waziri anaanzisha tume ya uchunguzi, kuchunguza kitu kiovu- unamtimua kazi- huo ni Uongozi au ni Uonevu mkubwa.
Kwa kuwa kila mmoja hapo mtaa wa kijani anazosharubu za kambale Kila kitu kinawezekana🏃.Waziri anaunda tume kwa uamuzi binafsi kumchunguza mkuu wa mkoa! Anatoa wapi hayo madaraka? .. kama si ulevi au kutoelewa ukomo wa madaraka yake.
E- fm ndo sasa imechukua nafasi ya Clouds fm kuuza ungaHivi makonda clouds alifanya nini?
Hapo clouds si ni radio na tv tu? Utasikia kila mara clouds clouds. Mistari imekaririwa kama bongo flava inarudiwa rudiwa kikasuku. Wenyewe clouds hawana cha kushitaki hata jaribio la kubenea mahakamani wamempuuza
Kosa kubwa la makonda kuwavua mask wahuni wa mihadarati. Wale wanaume wavaa chain za dhahabu na mapete vidole vyote hawatamsamehe milele.
Hakika aliwasambaratisha kiukweli.[emoji849][emoji848]
Mkamu wetu wa Rais SSH ako wapi mbona hatumsikii? Au yuko masomoni kwa utayari kwani mambo sivyo!!Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.
Huku kwenye habari kamrudisha nappe. Huyu alitumbuliwa na jpm kwa kutowajibika vizuri na kukosa weledi. Wenye kujua ndio tulielewa.
Waziri anawezaje kwa uamuzi wake binafsi kuunda tume eti kumchunguza mkuu wa mkoa. Alivyo kilaza akadai hawezi acha kumtetea wema sepeku eti baba zao walikua marafiki na mama zao wote wanatoka singida. Ndio watu mama analeta kwenye baraza la mawaziri na kumtosa mtu kama mwanasheria nguli kabudi.
Ok nisiwe unfair sana kwa mama kuna vichwa vingi kaviretain ila asije kuleta pwanigang. Mimi naamini sukumagang was just a coined term kufanya uchochezi kumpinga magufuli.
Kuna mawaziri watano toka mikoa ya pwani. Competance yao wala sio shindani. Ni kundi la wale polepole alisema kwenye shule yake iliyofungwa.
Ukiangalia kwenye wizara ya nishati kampa januari aliyekua anamsengenya na kumwita jpm mshamba. Katibu wake mkuu ni mramba aliyetumbuliwa tanesco kwa kutaka kupandisha bei ya umeme wakati lengo la jpm ni kushusha bei ya umeme.