Juhudi za Rais Samia kuwarejesha waliotenguliwa wa Hayati Magufuli tuzitafsiri vipi?

Wewe nafikiri ulitumbuliwa cheti feki maana hata kumbukumbu huna.
Nikuulize magufuli amekua waziri miaka 20 na waziri bora kwa kusimamia ujenzi network ya lami nchi nzima. Sasa yeye na wewe nani mjinga?

Hakustahili kuwa rais, alikuwa na busara ndogo sana na akili ya kuweza kumudu cheo cha urais. Huko huko kwenye miundombinu ndio ilipaswa kuwa nafasi yake ya mwisho. Hiyo miundombinu alisimamia na alikuwa waziri bora kwa vigezo vyao, sio lazima awe bora kwa kila mtu.
 
Maraisi waliomteua walijua anastahili..
wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hujawah kuwa nao utajua wapi uongozi.
 
Maraisi waliomteua walijua anastahili..
wewe hata ujumbe wa nyumba kumi hujawah kuwa nao utajua wapi uongozi.

Sifa ya hao marais waliomteua sio ubora wao bali ni nafasi zao. Ingekuwa amechaguliwa na watu wenye ubora hapo Ingekuwa sawa. Mimi sijawahi kutaka kuwa kiongozi, na hata kama ningekuwa nisingekuwa na kiburi cha madaraka cha aina yake.
 
Huwezi ukawa raisi hata ukitaka ubalozi..
Magufuli kukela mtu mmoja kama wewe hiyo ni nzuri sana kwenye uongozi.
 
Yaani nyie mnaleta masihara wakati nchi ndiyo inakwenda hivyo? Yaani mafisi yanakabidhiana bucha mchana kweupeee
 
Huwezi ukawa raisi hata ukitaka ubalozi..
Magufuli kukela mtu mmoja kama wewe hiyo ni nzuri sana kwenye uongozi.

Wala sitamani kuwa hata balozi, achia mbali huo urais. Amenikera mimi mwenyewe, angeacha matokeo halisi ya kwenye uchaguzi ndio ungejua hujui.
 
Alikua dhulumati na muonevu kwa wapenda vya kunyonga na sio wapenda vya kuchinja. πŸ™„
Kinachofurahisha ni jinsi Sukuma GANG mmekua Nyoka alopondwa kichwa , mnarusha tu mkia.
CCM inawenyewe.
Nyie Warundi waliojificha kwenye Usukuma ni bora muhame nchi, vinginevyo muonyeshe vyeti vya kuzaliwa vya mababu na mabibi zenu na makaburi yao.
 
Waziri anaunda tume kwa uamuzi binafsi kumchunguza mkuu wa mkoa! Anatoa wapi hayo madaraka? .. kama si ulevi au kutoelewa ukomo wa madaraka yake.
Kauli za aina hii ndizo zilizopelekea kuwa na wakuu wa mikoa na wilaya majambazi.
Mliwatetea sana lakini mahakama inaendelea kuwaumbua
 
Wala sitamani kuwa hata balozi, achia mbali huo urais. Amenikera mimi mwenyewe, angeacha matokeo halisi ya kwenye uchaguzi ndio ungejua hujui.
Hata ungetamani..
Kama matokea halisi ulikuwa nayo ungetangaza wewe.
 
Kila mtu ana haki ya kuchagua serikali yake,hivyo acheni uchuro

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Anafanya uponyaji kama hawa askofu na mitume feki wenye kuponya kila ugonjwa πŸ˜‚πŸ˜‚
Wafiwa mliamini maneno ya kufarijiwa, kwa pole ya mimi na Magufuli ni kitu kimoja.
Kusoma hujui ,hata picha uioni basi.
Nani awe kitu kimoja na Kichaa mkubwa yule. Sukuma GANG mnapondwa kibwege kwa kua hamuijui CCM. πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€
 
2025 watajifunza kuwa watanzania wa sasa siyo wale wa zamani.
 
Wafiwa mliamini maneno ya kufarijiwa, kwa pole ya mimi na Magufuli ni kitu kimoja.
Kusoma hujui ,hata picha uioni basi.
Nani awe kitu kimoja na Kichaa mkubwa yule. Sukuma GANG mnapondwa kibwege kwa kua hamuijui CCM. πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜€
Nyie mnaijua ccm?
 
Huyo mafuru ni mfano mwingine mama kuwarejesha waliyotumbuliwa na jpm. Hata kama alisusa na nadhani ni mtu anapelekeshwa na akili ya mtu au watu. Tutashuhudia regression ya mafanikio ya magufuli hasa nchi kujiamini na kufanya juhudi za kujitegemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…