Licha ya kuwa na vivutio vingi vya utalii na fukwe bora kabisa Duniani, bado sekta ya utalii haikuweza kufikia viwango vinavyotakiwa kwa kukosa Branding ya kutosha. Kuanzia Mwezi January hadi Mwezi July 2022 ongezeko la watalii limekuwa kwa 62% ambapo watalii wapatao 742,133 wameweza kutembelea nchi yetu.
Juhudi za Rais Samia katika kukuza utalii zinazaa matunda Royal Tour program ni moja ya jitihada za kipekee zilizofanywa na Rais Samia na sasa matunda yake tunayaona, kwa ujumla wake Royal Tour imekuwa na faida katika mambo yafuatayo;
1.Kutangaza vivutio vya Utalii vya Tanzania katika mataifa mbalimbali. - Filamu hii imefanyiwa uzinduzi katika miji mikubwa ya Marekani (Newyork na Los Angeles), na kuonyeshwa katika mataifa mbalimbali yenye Balozi za Tanzania na hapa nchini. - Kuonyeshwa katika mitandao maarufu mama Amazon Prime, PBS na Apple Tv ambazo kwa pamoja zinawatumiaji zaidi ya Milioni 200 Duniani kote.
2. Kukuza soko la ajira kupitia sekta binafsi katika biashara ya Utalii - Kabla ya janga la Covid19 Utalii ulichangia zaidi ya 10% ya GDP ya Tanzania. Baada ya Covid19, Tanzania imeanza vyema ambapo kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa (UNWTO) Tanzania ni nchi ya pili kati ya nchi 54 kwa kuvutia watalii wengi zaidi kwa mwaka 2021. - Wingi wa Idadi ya watalii kutokana na Filamu ya Royal Tour inatarajiwa kuendelea kuongezeka zaidi jambo litakaloongeza ajira kwa vijana katika sekta binafsi.
3.Kuvutia wawekezaji katika sekta ya utalii na sekta nyingine kutokana na matangazo ya rasilimali zilizopo nchini. Mpaka mwishoni mwa robo mwaka ya kwanza ya mwaka 2022, tayari kituo cha uwekezaji kilisajili miradi mingi karibu maradufu ya kipindi husika mwaka 2021.
Ujio wa watalii wengi nchini ni chachu ya kukua kwa sekta ya uwekezaji kutoka kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi.