Juhudi zipi zinahitajika kuwa billionea?

Chacha Zeboss

New Member
Joined
May 16, 2019
Posts
3
Reaction score
2
Habari zenu wadau. Unajua kuna watu wapo humu waliopata mafanikio makubwa katika maswala ya pesa. Naomba kufamu wenyewe walifanyaje hadi kuwa mabilionea? Karibuni sana
 
Usiwe rafiki na mtu uliemzidi kipatO daima ongozana na watu Wenye mafanikio zaidi yako pia usiwe na tabia ya kuomba omba pesa kwa Wenye nazo bila kutoa huduma yeyote jenga mazingira ya kukopesheka usiwe na huruma wala woga fanya vitu hatari ambavyo hujawah fanya na kila mtu anasema haiwezekani kufanyika
 
Maanake masikin hata pata rafiki sasa, mwenye kipato atataka awe na rafiki mwenye kipato zaidi yake,,,,

Wasio na kipato wakijaribu kutafuta urafiki na wenye vipato, wenye vipato hawataukubali urafiki coz nao watataka urafiki na wenye vipato zaidi yao
 
Wafu lazima wazikane, kwa maana hiyo lazima masikini apate rafiki mwenzake.
 
Maanake masikin hata pata rafiki sasa, mwenye kipato atataka awe na rafiki mwenye kipato zaidi yake,,,,

Wasio na kipato wakijaribu kutafuta urafiki na wenye vipato, wenye vipato hawataukubali urafiki coz nao watataka urafiki na wenye vipato zaidi yao

Nimeikutaga hii migodin..usijidanganye kuwa na marafiki tajiri..wanawake waloupata utajiri wanaongozana wenyew..na wanaume vile vile...uwii...mbaya sana
 
malengo ya mbali(focus) pamoja na kujitoa sadaka ndiyo moja ya juhudi zenyewe mkuu.

mfano kuamua biashara iwe tofauti na wewe mmiliki, ujilipe mshahara fixed kama wafanyakazi wengine na usitoe pato lolote au faida kwenye biashara yako kwa muda wa miaka mitano.
ukiweza kufanya hayo kwa ufanisi kuna kila dalili ya wewe kuwa billionea.

ni nadharia ila inaweza kuleta matokeo unayotaka.
 
Back
Top Bottom