Chacha Zeboss
New Member
- May 16, 2019
- 3
- 2
Habari zenu wadau. Unajua kuna watu wapo humu waliopata mafanikio makubwa katika maswala ya pesa. Naomba kufamu wenyewe walifanyaje hadi kuwa mabilionea? Karibuni sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah npo tayarKuna wengine mabilionea lakini warogi...upo tayari kuwa mrogi na wewe???
Maanake masikin hata pata rafiki sasa, mwenye kipato atataka awe na rafiki mwenye kipato zaidi yake,,,,Usiwe rafiki na mtu uliemzidi kipatO daima ongozana na watu Wenye mafanikio zaidi yako pia usiwe na tabia ya kuomba omba pesa kwa Wenye nazo bila kutoa huduma yeyote jenga mazingira ya kukopesheka usiwe na huruma wala woga fanya vitu hatari ambavyo hujawah fanya na kila mtu anasema haiwezekani kufanyika
Wafu lazima wazikane, kwa maana hiyo lazima masikini apate rafiki mwenzake.Maanake masikin hata pata rafiki sasa, mwenye kipato atataka awe na rafiki mwenye kipato zaidi yake,,,,
Wasio na kipato wakijaribu kutafuta urafiki na wenye vipato, wenye vipato hawataukubali urafiki coz nao watataka urafiki na wenye vipato zaidi yao
Bro unagawa utajiri, namimi.Ni Pm
Bro unagawa utajiri, namimi.
Na mm nahitaj ..😊
Maanake masikin hata pata rafiki sasa, mwenye kipato atataka awe na rafiki mwenye kipato zaidi yake,,,,
Wasio na kipato wakijaribu kutafuta urafiki na wenye vipato, wenye vipato hawataukubali urafiki coz nao watataka urafiki na wenye vipato zaidi yao
Ok. Ubaya wake niniNimeikutaga hii migodin..usijidanganye kuwa na marafiki tajiri..wanawake waloupata utajiri wanaongozana wenyew..na wanaume vile vile...uwii...mbaya sana
KubaguanaOk. Ubaya wake nini
Wewe unaogelea kwenye visima vingapi [emoji16]sema nikupeleke Makete kwa mzee Mwakipande, Ndani ya mwaka unaogelea kwenye kisima cha utajiri
[emoji16][emoji16][emoji16]aise mwakipande kanisaidia sana kama sio yeye ungekuta niko kijijin huko bulongwa nakunywa ulanzi, biashara zangu zinaenda vizur kwa ajili yake