Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sharubati
http://sw.m.wikipedia.org/wiki/MnururishoKimiminika mnururisho
wana lugha najua mnaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto ambaye anasoma class 4,na anapenda kujua maneno mengi ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili,sasa kaniuliza JUICE kwa lugha yetu inaitwaje nikamjibu niJUISI hakuridhika,na mm ndo dad

Mmenikumbusha TOGWA lililokuwa linauzwa hapo Fire brigade Dar (faya), enzi hizo paliitwa "mwembe togwa".
Bora hiyo "juice" ingeitwa togwa... Badala ya kutohoa na kuitwa juisi.
Kuna mtu aliniambia fire palikuwa panaitwa mwembe togwa na manzese palikuwa panaitwa mbuyuni.
Maji ya matunda
Msufini
na mwisho wake utachanganya bangi na milungi!Yap nimechanganya msufi na mbuyu maana kama ipo sawa kimuonekano.