Moses lubigisa
Member
- May 10, 2014
- 6
- 4
Maji ya matunda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wana lugha najua mnaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto ambaye anasoma class 4,na anapenda kujua maneno mengi ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili,sasa kaniuliza JUICE kwa lugha yetu inaitwaje nikamjibu niJUISI hakuridhika,na mm ndo dad
Nakuunga mkoo mkuu! Juice (Eng)= Sharubati (Kisw).Jibu sahihi ni sharubati no more
Nakuunga mkoo mkuu! Juice (Eng)= Sharubati (Kisw).