Bidhaa za Tanzania zinazalishwa zikiwa zimebebeshwa kodi kibao , ndo maana zinakuwa ghali, Cement ya dangote haiwezi kwemda kenya , maana ni cement ghali.sana sana cement ya kenya ndo itaingia Tanzania .Umechelewa, tumeshaweka kidole (saini) tayari!
Azam juice haiwezi tamba kama del monte kenya itaruhusiwa kuingia .Azam juice amesha kamata soko labda ajichanganye tu
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
..kwanini Azam hawatengenezi juice zao kwa viwango / level kama ya delmonte na ceres?Azam juice haiwezi tamba kama del monte kenya itaruhusiwa kuingia .
Delmonte ipo kwenye level za Ceres
Soma historia kama wewe ni kijana. Viwanda vyote vilivyoko Kenya vilikuwa vyetu kwa pamoja na Uganda kupitia EAC ya zamani iliyoundwa baada tu ya nchi hizi kupata uhuru. Hata hiyo currency ya shillingi ilikuwa moja. Iddi Amini Dada alipoichukua Uganda na sisi kutopenda tukawa buisy kuzozana na huyo Amini. Kenya ikachukua advantage ya mzozano huo na kujimilikisha mali zote za EAC ikiwemo hivyo viwanda na kuvunja EAC. Baada ya kumaliza mzozano huo na Iddi Amini, Tanzania (chini ya JK Nyerere) na Uganda (chini ya Kabuta Mseveni) zilijikuta hazina viwanda, usafiri wa treni wala wa ndege na wala sarafu (currency). Zilirudi back to square one hadi sindano, viberiti, sabuni, dawa ya mswaki etc ilibidi ivinunue kutoka Kenya. Sasa tulikuwa tumeanza ku pick up, hili Kenya hawapendi wanataka tubaki vile vile.Kwa nini tumekuwa waoga miaka yote hivi?ndio maana hata kwenye michezo tunafungwa Sana!?
Amekamata soko la Rwanda na Burundi tu, hilo la Kenya hawezi kuthubutu hata kidogo. Na hata hilo la Burundi na la Rwanda atanyang'anywa, rais wa Burundi sasa hivi yuko Kenya na yeye keshaweka dole!. Kenyatta safi!Azam juice amesha kamata soko labda ajichanganye tu
Sent from my TECNO CA6 using JamiiForums mobile app
Kasome hayo makubaliano. Kenya wanataka hiyo sementi ya Dangote kwani grade yake ndiyo inafaa kwa ujenzi wa madaraja na maghorofa marefu. Sisi tunaweza kuletewa ile ya daraja hafifu inayozalishwa na viwanda vingi vya Kenya.Cement ya dangote haiwezi kwemda kenya , maana ni cement ghali.sana sana cement ya kenya ndo itaingia Tanzania .
Delmonte foods ni kampuni ya kimarekani yenye makao makuu California; siyo ya Kenya.
Yaani tutafaidi uhondo huo! Na kuna Zesta Jam, Blue Band na Omo! Tutaachana na hiyo mi Redgold Jam na misabuni ya Doffi etc. Ninakahurumia sana hako karembo ka kwenye tangazo la Doffi.
Ngoja tuone mwisho itakuwajeHuyo ndio SSH, yeye mwenyewe anakuambia anatumia akili, sijui hizi ndio akili zenyewe?
Watamtuliza wahusika wakiona anazingua mwenzie si katulia tayariUna endorse mkataba wa EPA na EU, sisi tunapeleka nini EU hadi uruhusu bidhaa zote za EU ziingie Tz duty free ? Huyu ndio Rais atakayeua kabisa manufacturing industry ambayo ndio kwanza ilikuwa jnaanza kukomaa baada ya kazi ya muda mrefu ya Mkapa, JK na JPM.
Wakumtuliza SSH ni CCM wenyewe 2025, hakuna mwingine wa kumtuliza maana hao wa nje wameshamjulia, dawa ni kumsifia tu then atatoa kila rasilimali ya Tz nje bure kwa malipo ya sifa za kijinga.Watamtuliza wahusika wakiona anazingua mwenzie si katulia tayari
Kama huu sio ujinga tuuite kitu gani?Wataweza? Viwanda vya Kenya na vya European Union vina uzoefu wa miaka mingi. Nishati ya umeme kwao ni senti 0.004 ya dola kwa unit wakati sisi ni senti 20 ya dola kwa unit (= TZS 500). Sasa tunatarajia kujenga bomba la kupeleka gesi yetu kutoka Mtwara hadi Kenya kwa bei nafuu ili viwanda vyao vipate nishati ya bei nafuu zaidi ili juices zao watuuzie kwa bei nafuu zaidi.
Huyu mama atakuja kuwa tatizo kwelikweli kama asipokuja kustuka haraka.Wakumtuliza SSH ni CCM wenyewe 2025, hakuna mwingine wa kumtuliza maana hao wa nje wameshamjulia, dawa ni kumsifia tu then atatoa kila rasilimali ya Tz nje bure kwa malipo ya sifa za kijinga.