Hiyo juice nzuri sana hasa sisi ambao tumeoa..
uzuri wake nin?
uzuri wake nin?
***Coconut dates juice ***
Tende
Coconut milk
Asali
Hiliki
Namna ya kutengeneza
Ondoa makokwa tende
Weka katika blenda pamoja na tui na hiliki
Add honey
Enjoy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Utasikia inaongeza nguvu za kiume tu.
Usipo tudanganya kwa kusema inasaidia nguvu za kiume, hakuna atakayetengeneza.
Inajaza kichupa!!!!!
Usipo tudanganya kwa kusema inasaidia nguvu za kiume, hakuna atakayetengeneza.
Inajaza kichupa!!!!!
Nilisikia inaongeza hamu ya tendo la ndoa eti ni kweli?
***Coconut dates juice ***
Tende
Coconut milk
Asali
Hiliki
Namna ya kutengeneza
Ondoa makokwa tende
Weka katika blenda pamoja na tui na hiliki
Add honey
Enjoy
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.