- Thread starter
- #21
Hii sijawah kuinywa ila nahisi km tui na tende litanishinda na kula nnavyokupenda vyote ....
Try huwezi jua ladha yake unless ujaribu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sijawah kuinywa ila nahisi km tui na tende litanishinda na kula nnavyokupenda vyote ....
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.
Mmh... mpaka wife wako anaamua kukutengenezea we hujiulizi tu?
Hii ndo ROCKET halisi
Mhhhh...We mchokozi!Mmh... mpaka wife wako anaamua kukutengenezea we hujiulizi tu?
HahaTo the maximum
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mkuu my wife wako amekuwa na mashaka na utendaji kazi wako nini? Hapo kwenye red mkuu unatakiwa kupatafakari sana!! Maana inawezekana na wewe ni mmoja wao wa hao wakazi wa Dar wenye hiyo shida!!Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.
mkuu my wife wako amekuwa na mashaka na utendaji kazi wako nini? Hapo kwenye red mkuu unatakiwa kupatafakari sana!! Maana inawezekana na wewe ni mmoja wao wa hao wakazi wa dar wenye hiyo shida!!
Eti hayaliki!!!! Utuacheeeeee
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hajui haya mambo,mtu wa bara huyu yaonyesha...
Huyu ata si wa bara sijui wapi yakhe
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hajui haya mambo,mtu wa bara huyu yaonyesha...
kabanga wa bara tukikusikia kitawaka..!
Farkina asante kwa jushea...Try huwezi jua ladha yake unless ujaribu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums