Juice ya tende na maziwa

Juice ya tende na maziwa

Hahahaha...Attache....story za vijiweni zitakuua. Huna nguvu huna tu. Hiyo ni kinga ya mambo mengi sio kuongeza nguvu za kiume ili ukafanye umalaya.
 
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.
Mkuu my wife wako amekuwa na mashaka na utendaji kazi wako nini? Hapo kwenye red mkuu unatakiwa kupatafakari sana!! Maana inawezekana na wewe ni mmoja wao wa hao wakazi wa Dar wenye hiyo shida!!
 
mkuu my wife wako amekuwa na mashaka na utendaji kazi wako nini? Hapo kwenye red mkuu unatakiwa kupatafakari sana!! Maana inawezekana na wewe ni mmoja wao wa hao wakazi wa dar wenye hiyo shida!!

soma post uilewe ndio ucomment ndio njia bora ya kuboresha jukwaa, usicomment kama mvuta bangi utaambulia matusi na kashfa
 
Iyo juice ni nzuri tu. My hubby mshana jr anaipendaje. We Hossam labda wife hajaipatia lkn ni juice tam ajab.

Unaweza pia Kuongeza kipande cha ndizi na abasoda chembe mbili tatu.
 
Last edited by a moderator:
Try huwezi jua ladha yake unless ujaribu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Farkina asante kwa jushea...

Katika mahitaji naona umeonyesha maziwa kisha post ilofuatia umesema coconut milk.
Naomba kujua kama hizi ni aina mbili tofauti za juice...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom