Juice ya tende na maziwa

Juice ya tende na maziwa

farkhina

Platinum Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
14,568
Reaction score
16,917
Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho

Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo

Then enjoy juice ya tende......
 
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.
 
***Coconut dates juice ***

Tende

Coconut milk

Asali

Hiliki

Namna ya kutengeneza

Ondoa makokwa tende

Weka katika blenda pamoja na tui na hiliki

Add honey

Enjoy

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Hii sijawah kuinywa ila nahisi km tui na tende litanishinda na kula nnavyokupenda vyote ....
 
Back
Top Bottom