Juice ya tende na maziwa

Farkina asante kwa jushea...

Katika mahitaji naona umeonyesha maziwa kisha post ilofuatia umesema coconut milk.
Naomba kujua kama hizi ni aina mbili tofauti za juice...

Ni aina tofauti nlikusudia kuweka ya maziwa ila nimeona si vibaya kuongezea na ya coconut milk
 
Last edited by a moderator:
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.
Mkeo hajui kutengeneza!
 
Mabaya sana hayo makitu aisee. Mie wife aliwahi kunitengenezea nikayamwaga tu hayaliki hayo madude. Kuna jamaa huwa anabwia siki eti abust pampu...kweli Dar watu wanaumwa.

Pole sana! Haya mambo waachie wenyewe! Umeshindwa juice ya tende utaweza kunywa maziwa ya ngamia?
 
farkhina hem nikumbushie kufanya sharbat. Nimeimiss kitambo
 
Last edited by a moderator:
kwa ladha zaidi unaweza kuweka black current, Ribena, au juice aina ya current yoyote. Enjoy yourself, mimi naipenda sana baada kutoka mazoezini, inanipa nguvu sana
 
Hii juice ni mujarab sana hasa kwa wanandoa kwanza inaongeza energy, halafu inaongeza hamu ya shahawati(matamanio). Pia unaweza kuongezea tangawizi kidogo ili kuongeza test na pia tangawizi nayo ni dawa ya kuongeza hamu.
Mmmmhhhh! nilikuwa najiandaa kuwaandalia my lil boys, sasa si inaweza kuwaletea majanga?
 
Watengezee ni very healthy achana na hiyo tetesi ingawa ni kweli kwa baadhi ya watu.
Asante.
Maana nina tende nyiiingi hapa home, watu wamechoka kuzila na tumegawa weee na bado zipo. sasa nitawatengenezea juice. Nitaweka almond maana ndo wanazipenda sana
 
Samahani mkuu hayo makokwa ya tende yanatolewaje kwa urahisi maana naona kama kuchambua moja moja ni shughuli pevu
 
Samahani mkuu hayo makokwa ya tende yanatolewaje kwa urahisi maana naona kama kuchambua moja moja ni shughuli pevu

Ndio hivo kuchambua moja moja au kuna ambazo zimeshatolewa makokwa tayari utapata kwenye ma super market
 
Hii Juice ukiipiga utamtekenya salome ukinyonga balaaa aiseeeee nomaaa
 

Akhbarish...tende kwa fresh milk napendaaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…