Juice ya tende na maziwa

Mwanaume wa Dar akinywa hii juice atabadilika kuwa wa kijijini fasta,believe me!
 
Hivi huwa ni maziwa fresh ama mtindi?
 
Maziwa fresh.

Kwahiyo sasa mchanganyiko upi ndo mzuri..nataka kujaribu kutengeneza leo jioni.


Nina tende na maziwa tayari.

Sasa hivyo vikolombwezo vingine ndo nivitie vyote au nichagulie vipi hasa vinafaa kwa kuanzia kati ya hizo tangawizi, asali, ndizi, iliki, nk nk.
 
Bongolist hqkuna lingine wawazalo
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii juice ni mujarab sana hasa kwa wanandoa kwanza inaongeza energy, halafu inaongeza hamu ya shahawati(matamanio). Pia unaweza kuongezea tangawizi kidogo ili kuongeza test na pia tangawizi nayo ni dawa ya kuongeza hamu.
 
ongeza hapo na ndizi mbivu na asali ...... unapata super energizer
 
Changanya na
Ovacado
Ndizi mbivu

TANBIH
Weka mbali na watoto
 

Ongezea Na karanga.
 
Chief
Changanya vyote

ila penda kutumia kila siku au mara nyingi

Dozi ya wiki 1 tu

kisha lete mrejesho
Sasa huyu naye kasema parachichi...

Hebu niorodheshee viungo vya kutumia kwa leo.
 
wengi mliweka maazimio ya kufuata maelekezo ya kuitengeza hiyo kinywaji kama mlivyoelekezwa,lkn hatuoni mrejesho,vipi matokeo yake,afya zenu za uzazi na ngozi zenu mkizitazama baada ya kunywa hiyo smoothie zikoje sasa
 
Hii si kinywaji tu ni zaid ya dawa nawashaur wazaz km unamtoto ana shida ya uzito ama malnutrition mtengenezee hii kitu wallah utashangaa ndan ya wk tu mtoto atabadlka afya yake, hata kwa wagonjwa pia nawashaur kutumia hii sharubati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…