Juice ya tende na maziwa

Juice ya tende na maziwa

Mahitaji
=Maziwa
=Tende
=Karanga unaweza pia kutumia almonds(lozi),korosho

Namna ya kutengeza.
=Toa tende makokwa
=Weka katika blender pamoja na maziwa au aina ya nuts upendayo
=Saga hadi iwe laini iwe kama uji mzito kiasi
=Weka kwa friji ipate baridi kidogo

Then enjoy juice ya tende......
Nice
 
Kuna mtu ameuliza ratios zinakuwaje?

Matharani maziwa lita moja utaweka tende ngapi? Na karanga kiasi gani?

Je maziwa yakiwa nusu lita tende ziwekwe idadi kiasi gani?

Karanga Je

N.k
 
Back
Top Bottom