bado mmoja!!!!!!eti wimbi,kwani walioondoka ni wangapi mpaka liitwe wimbi?naona kama tunakuza mambo tu........
bado mmoja!!!!!!
bado zito nae
mimi nasubiri kwa hamu kweli na zitto aondoke kwa sababu nae kichwa kimeisha mvimba na kujiona anafaa sana.
Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.
another abusive one!!!
waswahili tatizo lao
ni kuwa its always personal,
hawajui mstari wa personal na political issue
upo wapi.wao ni attack tu.
ni kweli boss, halafu tunakuwa kama wajinga sometime... Tukianza na kuku basi kila kitu kuku hata miziki, kanga, vikao, misba, badae mkapa basi kila mtu hivyohivyo
inatia doa focus zetu na siasa za tanzania
eniwei, ngoja zitto aje tena ajibu maana sasa naona anajuuuuta kuifahamu jf
sio tu wajinga bali tunaonekana watoto
kwa kuchanganya kumshambulia mtu kwa
personal attacks na matokeo yake
ni kuwa watu serious humu watazidi kupungua...
Tunaanza fanana na vijiwe vya mitaani.
Na wende Salama ikibidi warudi kabisa CCM..UCCM kamwe usivumilike ndani ya Chadema vibaraka wote wafukuzwe kwa nguvu zote chadema sio NGOs kama huko alikokimbilia "KAFULIA"..Songa mbele Dr SLAA...Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David kafulila nae ameamua kujiondoa chadema na kuporomosha madongo mazito kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Freeman Mbowe .
http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8dd2901b748ea8e?hl=sw
Chacha wangwe was right and he will continue to be right whereveer he is, May he soul live longer!
Chama tulichokitgemea sasa, Akina zitto hawa hawa walimuiona wange hovyo!! na akaamua kuumunga mkono mbowe wake! leo hii naye yameanza kumurudu malipo ni HAPA HAPA DUNIANI!,
nI VIONGOZI WA AINA GANI HAWA CHADEMA! AMA KWELI CHUKUA CHAKO MAPEMA WANAWATUMIA VIZURI USALAMA WA VIONGOZI ILI WAO CCM WAENDELEE KUDUMU DAIMA KATIKA UPORAJI WA MALI ZETU!
VERY DISSAPOINTED NA YANAYOENDELEA, SHAME ON YOU ALL IN CHADEMA INCLUDING ZITTO!
WAKATI WA UVHAGUZI ZITTO ULIPASWA KUPAMBANA KABISA ILI UMUNGOE AU UKTALIWE!
CHA AJABU UKASALENDA! HUO, UKABILA UTAKIMALIZA NA WEWE ULIMUUNGA MKONO MBOWE KWA SABABU POSHO ZOTE MLIKUWA MNAZITAFUTA HAPA HAPA DAR! HAMUKATA ZIENDE MIKOANI KAMA ALIVYOTAKA WANGWE!
sasa Tz chama gani kinachoendeshwa kwa nidhamu na utaratibU kama CHADEMA.?Chacha wangwe was right and he will continue to be right whereveer he is, May he soul live longer!