Juju Martin Ajiondoa Chadema

Juju Martin Ajiondoa Chadema

Huko kwenye TV na magazeti ndiko walikuwa wanaeleza nini ? Unaweza kuondoka kimya ukaenda nyumbani kwako na usiongee lolote na heshima yako ikawa juu zaidi kukiko kubwabwaja maana unawapa nafasi ya kujua zaidi yako kuliko uendako . Kuhama Chama si suluhisho ama hawawezi kuishi bila ya madaraka ?Kutoa tuhuma ukiwa umeondoka nadhani kunakumaliza zaidi. Hii si siasa i ajira kusitishwa unachanganya na siasa ?
 
Siasa zetu Tanzania ni za ajabu sana. Kwanza mtu kuwa katika chama cha upinzani anaonekana kama amesaliti CCM as if kila mmoja ni lazima awe CCM. Waliopo CCM hawana uhakika na vibarua au chakula yao ya kila siku wakiondoka kutoka hicho chama kwa sababu wanajua mbinu wanazotumia kuangamiza upinzani.
Pili serikali badala ya kuwa na mipango endelevu ya kuendeleza wananchi, inatumia idara zake nyeti za usalama kubuni mipango ya kuangamiza upinzani na kushinda chaguzi.
Tatu, wanasiasa wanachukulia siasa ni shamba lao la kuvuna. Kwa hiyo wengi wanajiingiza pale ambapo wanaona watapata mkate, lakini hawana lengo thabiti la kupigania yale wanayoyasema majukwaani. Baada ya kuvuliwa madaraka wameona hawawezi kuendelea kutumia loopholes zilizokuwepo kupata mkate wao,cha msingi watafute media coverage ili vyama vingine viwaite na kuwapatia maslahi.
Nne, elimu yetu toka awali haijengi misingi ya mtu kufanya independent thinking, mfano ni hao wanaodhani ni lazima wawe na cheo CHADEMA au CCM kwani kuna wanachama wangapi katika nchi hii ambao hawana vyeo? Haiingii akilini kuwa anayewatoa wao CHADEMA ni Mbowe tu. pathetic!!
Siasa inapojaa ma-opportunists, hii ndio shida yake. Hata hivyo hili ni jukumu letu sote kuliko kuwaacha watu fulani wadictate future yetu. Ni taifa letu sote, tunapaswa kuwaambia wanasiasa inatosha.

Na hili pia lipo kwenye klabu kubwa za Simba na Yanga ambazo zinacapacity ya kuendelea lakini kila siku wanaishia kupiga majungu na kuweka viongozi ambao watawapa miambili kila jioni wakishamaliza kucheza bao kwenye makao makuu ya vikao.

Inasikitisha kuwa vikombe vya kahawa ya shilingi kumi kwenye vigenge vya mtaani vinawezesha chama kubaki madarakani. Hii ni moja kati ya nyingi.
What a shame!!
 
HAHAHAHAHA....Kumbe SHY ndo Leila Abdul....kazi kweli kweli!
 
Angekuwa kilaza kwanini mlimuajiri? ushabiki tu huo lol. na ukisikia kina mnyika na zitto wanaondoka utasema walikuwa vilaza?...kihiyo ni huyu li mbowe na slaa mwenye PhD ya kuongoza kanisa? wapi siasa.

Tumain mbona unaniangusha? haya maneno ya mipasho yaepuke mazee, tuweke hoja na counter hoja
 
waswahili tatizo lao
ni kuwa its always personal,
hawajui mstari wa personal na political issue
upo wapi.wao ni attack tu.

ni kweli boss, halafu tunakuwa kama wajinga sometime... tukianza na kuku basi kila kitu kuku hata miziki, kanga, vikao, misba, badae mkapa basi kila mtu hivyohivyo

inatia doa focus zetu na siasa za tanzania

eniwei, ngoja zitto aje tena ajibu maana sasa naona anajuuuuta kuifahamu JF
 
ni kweli boss, halafu tunakuwa kama wajinga sometime... Tukianza na kuku basi kila kitu kuku hata miziki, kanga, vikao, misba, badae mkapa basi kila mtu hivyohivyo

inatia doa focus zetu na siasa za tanzania

eniwei, ngoja zitto aje tena ajibu maana sasa naona anajuuuuta kuifahamu jf

sio tu wajinga bali tunaonekana watoto
kwa kuchanganya kumshambulia mtu kwa
personal attacks na matokeo yake
ni kuwa watu serious humu watazidi kupungua...
Tunaanza fanana na vijiwe vya mitaani.
 
sio tu wajinga bali tunaonekana watoto
kwa kuchanganya kumshambulia mtu kwa
personal attacks na matokeo yake
ni kuwa watu serious humu watazidi kupungua...
Tunaanza fanana na vijiwe vya mitaani.

ni kweli mkuu, na kuna wakati mkuu GT huwa anasikitika sana kwa hili hapa JF!! ila pia tukumbuke tunaelekea uchaguzi na mafisadi wako bize ku-dilute anything cosntructive ili wabaki na pipes zao

yawezekana hili nalo ni agenda yao na wanalipa watu kuja kuachiza hewa chafu humu targetting individuals like Zitto
 
Chacha wangwe was right and he will continue to be right whereveer he is, May he soul live longer!

Chama tulichokitgemea sasa, Akina zitto hawa hawa walimuiona wange hovyo!! na akaamua kuumunga mkono mbowe wake! leo hii naye yameanza kumurudu malipo ni HAPA HAPA DUNIANI!,
nI VIONGOZI WA AINA GANI HAWA CHADEMA! AMA KWELI CHUKUA CHAKO MAPEMA WANAWATUMIA VIZURI USALAMA WA VIONGOZI ILI WAO CCM WAENDELEE KUDUMU DAIMA KATIKA UPORAJI WA MALI ZETU!

VERY DISSAPOINTED NA YANAYOENDELEA, SHAME ON YOU ALL IN CHADEMA INCLUDING ZITTO!
WAKATI WA UVHAGUZI ZITTO ULIPASWA KUPAMBANA KABISA ILI UMUNGOE AU UKTALIWE!
CHA AJABU UKASALENDA! HUO, UKABILA UTAKIMALIZA NA WEWE ULIMUUNGA MKONO MBOWE KWA SABABU POSHO ZOTE MLIKUWA MNAZITAFUTA HAPA HAPA DAR! HAMUKATA ZIENDE MIKOANI KAMA ALIVYOTAKA WANGWE!
 
Juju Martin ni nani hasa? Sidhani kama angekuwa na umuhimu mnaotaka tuuone hapa angeweza kuvuliwa madaraka aliyokuwa nayo. Dr Slaa endelea kutumia madaraka yako kuwavua madaraka wale unaoona ni pumba.
 
Lile wimbi la Wanachama wa chadema Kuhama chama hicho limeendelea leo baada ya Mwanachama mwingine wa Chama cha Democrasia na maendeleo Juju Martin ambaye alivuliwa nyadhfa pamoja na David kafulila nae ameamua kujiondoa chadema na kuporomosha madongo mazito kwa Mwenyekiti wa chama hicho Bwana Freeman Mbowe .

http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8dd2901b748ea8e?hl=sw
Na wende Salama ikibidi warudi kabisa CCM..UCCM kamwe usivumilike ndani ya Chadema vibaraka wote wafukuzwe kwa nguvu zote chadema sio NGOs kama huko alikokimbilia "KAFULIA"..Songa mbele Dr SLAA...
 
Chacha wangwe was right and he will continue to be right whereveer he is, May he soul live longer!

Chama tulichokitgemea sasa, Akina zitto hawa hawa walimuiona wange hovyo!! na akaamua kuumunga mkono mbowe wake! leo hii naye yameanza kumurudu malipo ni HAPA HAPA DUNIANI!,
nI VIONGOZI WA AINA GANI HAWA CHADEMA! AMA KWELI CHUKUA CHAKO MAPEMA WANAWATUMIA VIZURI USALAMA WA VIONGOZI ILI WAO CCM WAENDELEE KUDUMU DAIMA KATIKA UPORAJI WA MALI ZETU!

VERY DISSAPOINTED NA YANAYOENDELEA, SHAME ON YOU ALL IN CHADEMA INCLUDING ZITTO!
WAKATI WA UVHAGUZI ZITTO ULIPASWA KUPAMBANA KABISA ILI UMUNGOE AU UKTALIWE!
CHA AJABU UKASALENDA! HUO, UKABILA UTAKIMALIZA NA WEWE ULIMUUNGA MKONO MBOWE KWA SABABU POSHO ZOTE MLIKUWA MNAZITAFUTA HAPA HAPA DAR! HAMUKATA ZIENDE MIKOANI KAMA ALIVYOTAKA WANGWE!

Mkira, yes chacha was right (kwa maoni yako) yes mbowe ana matatizo-hili hata mimi nakubali but wait!!! UMEMTAJA ZITTO MARA TATU, why? thread ya Jujuman, mwenyekiti ni mbowe na jujuman hajamtaja zitto but wewe umeona hapo ndipo unapotaka, yaani wewe CHADEMA ndio Zitto? unajua kwenye party ranking yeye ni namba ngapi? ungewataja kwa rank basi, Give a young man a break!!!

It is sick and obssessive!!! we have to stop this attack on one person on everything, kuna siku utasema hata MV Bukoba ilizama kwasababu Zitto hakugombea ubunge aokoe meli
 
Juju Martine, nenda, usitazame nyuma, nenda kaungane na mkorofi mwenzio David Kafulila....nenda . NCCR aka NGO, Inasubiri wahanga kama wewe, na kuna vyeo mtapewa kule, maana sijui kama NGO hiyo itashiriki uchaguzi mkuu mwakani.
 
Chacha wangwe was right and he will continue to be right whereveer he is, May he soul live longer!

Chama tulichokitgemea sasa, Akina zitto hawa hawa walimuiona wange hovyo!! na akaamua kuumunga mkono mbowe wake! leo hii naye yameanza kumurudu malipo ni HAPA HAPA DUNIANI!,
nI VIONGOZI WA AINA GANI HAWA CHADEMA! AMA KWELI CHUKUA CHAKO MAPEMA WANAWATUMIA VIZURI USALAMA WA VIONGOZI ILI WAO CCM WAENDELEE KUDUMU DAIMA KATIKA UPORAJI WA MALI ZETU!

VERY DISSAPOINTED NA YANAYOENDELEA, SHAME ON YOU ALL IN CHADEMA INCLUDING ZITTO!
WAKATI WA UVHAGUZI ZITTO ULIPASWA KUPAMBANA KABISA ILI UMUNGOE AU UKTALIWE!
CHA AJABU UKASALENDA! HUO, UKABILA UTAKIMALIZA NA WEWE ULIMUUNGA MKONO MBOWE KWA SABABU POSHO ZOTE MLIKUWA MNAZITAFUTA HAPA HAPA DAR! HAMUKATA ZIENDE MIKOANI KAMA ALIVYOTAKA WANGWE!
sasa Tz chama gani kinachoendeshwa kwa nidhamu na utaratibU kama CHADEMA.?
KAONE SEKESEKE ccm. Hongera SLAA kwa kujenga taasisi madhubuti.
 
Back
Top Bottom