Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Huko kwenye TV na magazeti ndiko walikuwa wanaeleza nini ? Unaweza kuondoka kimya ukaenda nyumbani kwako na usiongee lolote na heshima yako ikawa juu zaidi kukiko kubwabwaja maana unawapa nafasi ya kujua zaidi yako kuliko uendako . Kuhama Chama si suluhisho ama hawawezi kuishi bila ya madaraka ?Kutoa tuhuma ukiwa umeondoka nadhani kunakumaliza zaidi. Hii si siasa i ajira kusitishwa unachanganya na siasa ?