Jukumu kuu la elimu ni kumkomboa kifikra mtu na kumpa ujuzi muhimu lakini kinachofanyika hapa kwetu ni kuipa jukumu ambalo siyo lake la kuwatajirisha waipatayo kupitia ajira,
Sasa kama elimu yao inawatajirisha who cares ?!!!
All is well that ends well....
mambo ya kukombolewa kifikra watu hawana mda nayo ndio maana ni kawaida sana kukuta hata mhitimu wa chuo hajawahi kusoma kitabu chochote nje ya vile vya darasani.
Fikra (Thinking) ni tabia ya mtu wala haiitaji elimu wala kusoma vitabu.., on that logic utasema before reading and writing watu walikuwa sio wafikiriaji...
Kina Faraday hata shule hawakwenda ila ni tabia ya kuchunguza na kutafiti..., they say Necessity is the Mother of all Invention kwahio watu hawafikirii either sababu wamebweteka (all is well) au wamejikita kwenye distractions (tozo, umbeya, uchawi au wamekuwa indoctrinated na mambo ya Imani hence they do not ask Why)
Egypt waligundua irrigation sababu ya necessity ilikuwa wafanye hivyo au wa-become extinct
Kwa wenzetu huko ulaya , marekani, asia, mtu hata kama kaishia shule ya msingi ataendelea kujiongezea maarifa kupitia vitabu, wengi wanafikia miaka 25 tayari wanakuwa wamesoma vitabu walau 30 vya kuongeza maarifa,
Trust me there is a lot of dumb people abroad, believe me nilishajichanganya na wadau average Joe's huko UK (kusema they know very little is an understatement) au unadhani huko America kwenye Ghettos how much do they know in terms of general knowledge ?!! Atleast Asia they try (neccessity being the mother of all invention)..... to put it lightly the age of enlightment was then not now (now there are a lot of educated fools) we are seeing further because we are standing on the shoulders of the then giants (kina babu zetu wafua vyuma, kina Newton, Tesla, Farraday n.k.)
sasa haa kwetu hali ni tofauti,mtu mwenye degree / master tena ana miaka taribani 40 hajawahi kusoma kitabu hata kimoja,
I used to read a lot myself..., but now not as much, Why you might ask !!! Information at your fingertips na kwa sasa nina uwezo wa kuchakata more information kwa siku moja ambayo zamani nisingeweza kwa miezi sita..., Again I say you might read as an entertainment lakini pia unaweza ukawa unafikiria ni vipi kile kisima pale kijijini unaweza ukaongeza horsepower kwa kutumia upepo au stored energy kwenye bembea za watoto kucheza (huenda usifanikiwe maisha yako yote, ila huwezi kuniambia such a person is not a visionary au hatumii fikra zake zaidi ya kukariri mathematical table)
yaani hata vile vitabu vya muhimu kama rich dad poor dad, how to make friends and influence people, 40 laws of power, n.k havijui. ....
Inaonyesha vipi fikra zako zipo distored unaangalia ulimwengu / watu kwa lense yako / matakwa yako na nini muhimu kwako..., rich dad poor dad na vyote ulivyosema huenda ni vya maana kwako (financial / economical wellbeing) lakini kwa mwingine huenda solving the world energy problem au coming with a new improved seed za mazao ndio muhimu.... au ni jinsi gani quantum theories zinaweza kututoa hapa kutupeleka pale..., wakati wewe unawaza to influence people yeye anawaza to emancipate the mass.., wakati wewe una-seek self motivation katika maisha yako yeye haitaji motivation bali anachunguza the unkowns and discovering what is what is reward enough (not econimical rewards)
hapo ndipo unapopata picha kamili kwamba elimu kwa hapa bongo lengo lake ni ajira tu, kiu ya maarifa haipo kabisa.
maarifa yanapatikana from day to day doings and experience, sio bongo pekee bali the world over formal education has become an overpriced endevaour producing uneducated people full of debt and the certificates are not even worth what they used to be (kwahio ukipata hio ajira au status kwamba umesoma it serves its purpose) lakini what sets the brilliants from the averages ni wale wachache ambao hata kama wasingechukua formal education they would still excel..., sababu elimu haimaliziki pale unapotoka shule bali katika kila dakika ya maisha yako...