Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

Jukumu la kufikisha mwanamke kileleni ni mzigo mkubwa kwa wanaume tofauti na inavyofikirika

Error 404

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
2,151
Reaction score
3,493
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume.

Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10 na walikuwa wanamkamia hasa, mtu kama huyu utamridhisha kweli ndani ya ndoa?

Mtu kalala hajishughulishi, kichwani anawaza, vikoba, ma ex etc tafikaje kileleni kirahisi? Akichelewa au asipofika lawama kwako tena daaa.

Kweli wanaume tumeumbiwa mateso na hili ni moja wapo.
 
Tena ngono ya ejaculation inaongoza kututanguliza wanaume makaburini,unashangaa MTU anajisifu Leo nimepiga bao 5 hajui process zilizotumika kutengeneza hizo bao tano! Fanya ngono kijanja wewe moja na yeye moja imeisha
Sugua Ngozi tofauti tofauti kwa bao 1 sugua hata Ngozi 2/3 hivyo raha mu starehe sio unakomalia Ngozi 1 kukojoa kwenyewe mtiti Ngozi inapwaya Ngozi haihamasishi
 
Wanawake sheria ni ile ile,
Tuwatafutie watoto zetu baba bora na wawajibikaji.
Kisha nje tujitafutie wanaume zetu kwa matumizi yetu binafsi.!!
Alisikika shangazi mmoja 😹😹😹
Ndio hivyo hivyo Shangazi lini ntakukuta hapa?
Screenshot_20240709_233922.jpg
 
Wanawake sheria ni ile ile,
Tuwatafutie watoto zetu baba bora na wawajibikaji.
Kisha nje tujitafutie wanaume zetu kwa matumizi yetu binafsi.!!
Alisikika shangazi mmoja 😹😹😹
Labella maneno yako ni machache na yanajenga mantiki kwenu wanawake ila kwa wanaume yanaumiza sana pale tunapojitolea kuwalea alafu kumbe akili zenu zinawaza mambo mengine ya pembeni.

Pia unadhihirisha kuwa kuwa na mwanaume nyumbani sio sehemu yako ya kutulia bali unahamaisha udhinifu period.

Kwa mantiki hii tusiwalaumu wale wanaowachukulia hatua pale wanapowafumania😄😄
 
Labella maneno yako ni machache na yanajenga mantiki kwenu wanawake ila kwa wanaume yanaumiza sana pale tunapojitolea kuwalea alafu kumbe akili zenu zinawaza mambo mengine ya pembeni. Pia unadhihirisha kuwa kuwa na mwanaume nyumbani sio sehemu yako ya kutulia bali unahamaisha udhinifu period. Kwa mantiki hii tusiwalaumu wale wanaowachukulia hatua pale wanapowafumania😄😄
Shangazi hilo halina mpango wa kuolewa limeshakongoroka limejichokea na kujichokea limechoka limechakaa sasa ni mwendo wa kuvizia vijana tu
 
Back
Top Bottom