Umeongea ukweli mtupu!! Kidoogo kigamboni na mbezi n. K ila huko tandale jau sana
nilikuwa na demu wangu mmoja wa kimanga akitokea magomeni ndio
kwao baba swala tano lakin mtoto sasa ndio shida, akiwa na mimi alikuwa
hana shida ila tatizo kama nililosema anakuwa kashatumika sana,alikuwa
hajazalishwa bado ila mambo mengi marafiki wengi, anataka makubwa
mara mwenzake kafanya birthday na yeye anataka nimpe hela afanye
namwambia achana na maisha hayo ya kujionesha dili na itu vya msingi
ikawa yanaingilia huku yanatokea huku,nikaona ee haya maji sio level yangu
nikajifanya nimefukuzwa kazi na sababu alikuwa anaishi kwao hakai na mimi
akaamini ndipo nilipomjua sura yake halisi yeye ni nani jinsi alivyobadilika sikuamini.
kifupi maeneo hayo usijidanganye wala sikushauri kuchukua mwanamke achana nao hawafai
labda mbezi wapo,tbt,na sehemu za mbali ya katikati ya jiji na starehe wapo waliotulia