Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana.
Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake wameanza kutangaza kuwa ni vita kati ya Iran na Israel.
Kiukweli vita hivyo ni kama fursa muhimu ya maisha ya kidunia kwa kila Muislamu na hasa kwa mataifa ya maashariki ya kati kwani kwa mujibu wa waziri wa Israel aitwaye Ben Giver ni kwamba anawahamasisha mayahudi wenzake waanze kujiandaa kufanya ibada zao ndani ya masjid Aqsa hivi karibuni.
Utetezi wa Msikiti huo wala si jukumu la Iran pekee kwani Msikiti huo umetajwa kwenye Qur'an na pahala penye unasibibisho na miujiza na wahyi muhimu katika uislamu.