Jukumu la kuwatetea wapalestina si la Iran pekee

Jukumu la kuwatetea wapalestina si la Iran pekee

Uislamu uliingia Spain,Portugal na France miaka mia 2 baada ya sayyidna Omar kuikomboa Jerusalem.
Wakatoliki hawakuweza kuwaondoa waislamu kwa karne karibu saba mbele mpaka pale walipokodi vikosi vya kiislamu kutoka nchi za kaskazini ya Afrika kama vile Mali,NIger na Chad.
Mayahudi kwa nafsi zao hawajawahi kuwashinda waislamu.Na hata mwaka huu 2024 wamewatumia vibaraka wa kiarabu kuwafunga mikono na miguu waislamu wa Palestina na huku wakiwaachia wawapige wanavyopenda.
Porojo za masjid ubwabwa. Israel kurejea kwenye ardhi yao ya asili waliwachakaza nani na hadi leo nani amemwondoa hapo alipo.
 
Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana.

Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake wameanza kutangaza kuwa ni vita kati ya Iran na Israel.

Kiukweli vita hivyo ni kama fursa muhimu ya maisha ya kidunia kwa kila Muislamu na hasa kwa mataifa ya maashariki ya kati kwani kwa mujibu wa waziri wa Israel aitwaye Ben Giver ni kwamba anawahamasisha mayahudi wenzake waanze kujiandaa kufanya ibada zao ndani ya masjid Aqsa hivi karibuni.

Utetezi wa Msikiti huo wala si jukumu la Iran pekee kwani Msikiti huo umetajwa kwenye Qur'an na pahala penye unasibibisho na miujiza na wahyi muhimu katika uislamu.
Sisi wakristo tuko tayar kuwasidia waisrael
 
Back
Top Bottom