Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 908
- 1,857
Kichwa kinajieleza.
Ni jukwaa gani unalipenda sana humu yani..¡! Kila ukiingi jf hile jukwaa ni lazima ulitembelee tu
Ni zipi sababu za wewe kulipenda hilo jukwaa..?
Binafsi muda mwingi nipo jukwaa LA hoja mchanganyiko nikitoka naenda jukwaa la mapenzi...!!