M Mzigua_255 JF-Expert Member Joined Jun 25, 2026 Posts 908 Reaction score 1,857 Aug 5, 2026 #1 Kichwa kinajieleza. Ni jukwaa gani unalipenda sana humu yani..¡! Kila ukiingi jf hile jukwaa ni lazima ulitembelee tu Ni zipi sababu za wewe kulipenda hilo jukwaa..? Binafsi muda mwingi nipo jukwaa LA hoja mchanganyiko nikitoka naenda jukwaa la mapenzi...!!
Kichwa kinajieleza. Ni jukwaa gani unalipenda sana humu yani..¡! Kila ukiingi jf hile jukwaa ni lazima ulitembelee tu Ni zipi sababu za wewe kulipenda hilo jukwaa..? Binafsi muda mwingi nipo jukwaa LA hoja mchanganyiko nikitoka naenda jukwaa la mapenzi...!!
Mzee Rufiji JF-Expert Member Joined Aug 24, 2024 Posts 751 Reaction score 1,315 Aug 5, 2026 #2 Jukwaa La Wakubwa
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,582 Reaction score 123,152 Aug 5, 2026 #3 Mimi binafsi hua wala siyajui majukwaa ya hapa JF Toka nimejiunga JF hua nikiingia tu humu,basi hua naingia kwenye Trending, Hua nasoma nyuzi na kucomment bila hata kujua kua nipo kwenye jukwaa gani.
Mimi binafsi hua wala siyajui majukwaa ya hapa JF Toka nimejiunga JF hua nikiingia tu humu,basi hua naingia kwenye Trending, Hua nasoma nyuzi na kucomment bila hata kujua kua nipo kwenye jukwaa gani.