PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 832
- 447
Wenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;
Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm
- Kumbe naweza kuja Chadema nikawa Mr. Opportunist? ha1 ha! ha! so ndio kazi yako huko? ha! ha1
Le Mutuz
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?
- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
- Hoja ya msingi ni kwamba tumegundua kwamba ni jukwaa la upinzani, afadhali ya kitambi kuliko makengeza au? ha1 ha! ha!
Le Mutuz
hili jukwaa lilisha nunuliwa siku nyingi na wapinzani wajumbe wake wote wanalipwa posho na vyama vya wapinza ili kutekeleza matakwa yao.
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?
- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia CCM!Wenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;
Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm
Si bure,kuna kitu chenye ncha kali utakua umekalia. Rudi MMU
Huyu jamaa Nafikiri baba yake Mzee Malecela amtafutie mke ili awe na majukumu ambayo yatamfanya afikirie lasivyo atapata utindio wa ubongo kwani thread anazokuja nazo zinaonyesha wazi hana akili hata chembe
mara ya kwanza kukuona nipale ulipoaibishwa nadogo mmoja wa chadema singida mkiwa na majura,dogoaliwagalagaza na maswali ndio nikaamini kuwa upeo wako mdogo sana- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?
- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!
Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
Umesahau nilikuambia New Yorkers don't quit? Mimi nilipata kadi ya CCM, hivyo siwezi kuhama, lakini siwezi kuwapenda wajinga wajinga kama wewe. Kwangu mimi ni maendeleo kwa nchi na wananchi, kwani uhalifu unaongezeka pindi hali ya maisha kwa wengi kuwa ya juu na wachache kutanua. Your very stupid, you can't even grasp nothing. Wewe ni uozo mkubwa. I will vote for CDM kama CCM watakusimamisha wewe katika uchaguzi wowote.- Kumbe naweza kuja Chadema nikawa Mr. Opportunist? ha1 ha! ha! so ndio kazi yako huko? ha! ha1
Le Mutuz
Hapa napo umetumia akili kulinganisha KITAMBI na KENGEZA au?.- Hoja ya msingi ni kwamba tumegundua kwamba ni jukwaa la upinzani, afadhali ya kitambi kuliko makengeza au? ha1 ha! ha!