Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

Jukwaa la Katiba, Jukwaa la Upinzani?

Wenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;

Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm

Si bure,kuna kitu chenye ncha kali utakua umekalia. Rudi MMU
 
Last edited by a moderator:
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?

- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!

Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.

...hata kama uzushi huu ni wa kweli ulitaka na wao wawe vibaraka walamba viatu kama mnavyowatumia policcm,na mmewatuma kulipua bomu arusha.,shame on you maccm,mtu akiwa kinyume nanyi tu,maneno meeengii...
 
- Hoja ya msingi ni kwamba tumegundua kwamba ni jukwaa la upinzani, afadhali ya kitambi kuliko makengeza au? ha1 ha! ha!

Le Mutuz

unapomtania mtu kutokana na ulemavu wake ni kosa ukiwa wewe ni kiongozi wa CCM! Kitambi ni kujitakia. Naamini kabla hujafa utapata ulemavu, nitakukumbusha
 
Le mutuz tatizo ni Body Mass Index yako.....automatically inapunguza uwezo wako wa kupambanua mambo shida ilianzia before your 2nd birthday......ni utapiamlo huo japo una kitambi na kwa umri wako hakuna tiba ya kukusaidia
 
hili jukwaa lilisha nunuliwa siku nyingi na wapinzani wajumbe wake wote wanalipwa posho na vyama vya wapinza ili kutekeleza matakwa yao.
 
haya endelea kufua boksaaa za Nape hapo Lumumba
 
Naomba wakati Deus Kibamba anafanya press kujibu amshauri pia W. J. Malecela kumtaka radhi sheikh Ponda na waislam kwa kumwita sheikh Ponda mende
 
Last edited by a moderator:
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?

- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!

Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.

Hizo safari zako mara moro sasa hivi tanga, zinatoaje umaskini pale mtera? Kumbuka mzee wako amewanyonya kwa miaka mingi!
 
Kwa haili la katiba CCM imekula kwao, watanzania hawataki tena upuuuzi, wameamka na sasa tuna subiri tu JK atie saini hiyo taktaka waliyo pitisha iliyo jaa ngojera, Poor Tanzania!
 
isije kuwa uko porini na siraha na mbaya zaidi unawinda kile usichokijua; usishangae ukajikuta hata umebakia wewe tu pengine na familia yako, kwani unahangaika na kundi kubwa zaidi hata lile la madawa ya kulevya ambalo nalo linaonekana kuwashinda pamoja na uchache wake na kujulikana kwa majina na list kuwa nayo!
 
Wenye tamaa ya madaraka wanakimbilia upinzani kwa kuwa kule ndiko kibonde, ccm haitaki viongozi lege lege,
ccm ndiyo chama tawala na watake wasitake uchaguzi wa 2015
lazima ccm itashinda;

Na huu muungano ndo kabisa umeuwa upinzani, chadema ndicho chama
kilichokuwa na wafuasi wengi, lakini kwa muungano huu wengi pia watarudi ccm
Mtu mwenye akili timamu hawezi kushabikia CCM!
 
Huyu jamaa Nafikiri baba yake Mzee Malecela amtafutie mke ili awe na majukumu ambayo yatamfanya afikirie lasivyo atapata utindio wa ubongo kwani thread anazokuja nazo zinaonyesha wazi hana akili hata chembe

Huyo kama kweli ni yeye mtoto wa Malecela wala hahitaji mke kwani huyo mke atakuwa tahira kuolewa na pumba hizi, labda kama mzee Malecela atakuwa anamsaidia ku........................................
 
- Nimezipokea kwa furaha sana habari za Mkuu wa Jukwaa la Katiba la Tanzania, kwamba jana amerudisha rasmi kadi ya CCM na kwamba sio mwanachama tena wa CCM, saafi saana maana nimekuwa nikjiuliza kwa muda mrefu sana sasa kwa nini hilo Jukwa hawajisajili kama Chama cha Upinzani maana ndio walichokuwa wanakifanya na nimeuliza sana nani anawafadhili?

- Habari kwamba Mkuu amejitoa CCM kwa sababu anataka kujiunga na Chadema ili agombee ubunge jimbo la Segerea ni habari njema sana, kwamba sasa tumejua rasmi kwamba kumbe huko ndiko alikokuwa anaegemea siku zote, ni vyema wengine wote kama yeye ambao bado wapo ndani ya CCM wakajitoa mapema maana hii speed mpya ya CCM, hatuna muda na wanafiki wenye sura mbili mbili, Kidumu Chama Cha Mpainduzi!!

Le Mutuz on my way to Kilindi/Tanga.
mara ya kwanza kukuona nipale ulipoaibishwa nadogo mmoja wa chadema singida mkiwa na majura,dogoaliwagalagaza na maswali ndio nikaamini kuwa upeo wako mdogo sana
 
- Kumbe naweza kuja Chadema nikawa Mr. Opportunist? ha1 ha! ha! so ndio kazi yako huko? ha! ha1
Le Mutuz
Umesahau nilikuambia New Yorkers don't quit? Mimi nilipata kadi ya CCM, hivyo siwezi kuhama, lakini siwezi kuwapenda wajinga wajinga kama wewe. Kwangu mimi ni maendeleo kwa nchi na wananchi, kwani uhalifu unaongezeka pindi hali ya maisha kwa wengi kuwa ya juu na wachache kutanua. Your very stupid, you can't even grasp nothing. Wewe ni uozo mkubwa. I will vote for CDM kama CCM watakusimamisha wewe katika uchaguzi wowote.
 
Duh, hivi kwa sasa CCM ina kasi gani??? Kweli Nyani haoni kundule!
 
haahahahahahahaha! mbavu zangu mie!

Back
Top Bottom