mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Angalia reaction ya vyama vingine vya upinzani ulimwenguni ni tofauti na CDMCDM wajibu wao uko palepale siku zote hawajawahi kukaa kimya kwa udhalili wowote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia reaction ya vyama vingine vya upinzani ulimwenguni ni tofauti na CDMCDM wajibu wao uko palepale siku zote hawajawahi kukaa kimya kwa udhalili wowote.
Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa, Wakili Mwabukusi na Mwanaharakati Mdude Nyangali.
Sehemu ya tamko hilo inasema walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi na baadae kubadilishiwa tuhuma kuwa za uhaini kitu kinachoonesha kuwa wanabambikiwa kosa kwa mijibu wa sheria za Kimataifa za upelelezi.
Hata hivyo wao kwa pamoja wanaamini kutoa maoni kuhusu mkataba wa DPW na Tanzania ni hako ya kila raia.
Wito wao kwa pamoja
1. Kuwaachia bila masharti kwa kuwa hawana hata dosari inayoonesha kosa la uhaini.
2. Wito kwa DCI ni kuwa imwachie mara moja Wakili Madeleka kwa kuwa wanaamini kukamatwa kwao kuna uhusiano na utoaji maoni kuhusu mkataba wa DPW na Tanzania.
3. Msisitizo umewekwa kuheshimu mapendekezo ya tume ya Haki Jinai ya Jaji Chande, kwa jeshi la polisi kutenda kwa weledi na kuepuka kubambikia keshi wananchi.
4. Wito kwa wanasiasa kuepuka kutoa matamko yanayochochea uvunjifu wa haki za binadamu.
Sikiliza mwenyewe hapa.
View: https://www.youtube.com/live/duzaiz4qjL4?feature=share
Wewe unataka wachukue reaction gani zaidi ya unazoziona?Angalia reaction ya vyama vingine vya upinzani ulimwenguni ni tofauti na CDM
Kali sana. Kuna Mama ameeleza vizuri sanaTamko Kali au siyo? 😂😂😂😂😂
Ngoja tuone. Maneno vs matendo
😁😁😁😁😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣Kali sana. Kuna Mama ameeleza vizuri sana
Unazungumza na nani? Kwani CCM wanafuta hiyo sheria na katiba? Huu ni muda sahihi watuingize barabaraniWewe unataka wachukue reaction gani zaidi ya unazoziona?
Cdm ni chama cha demokrasia kina amini katk mazungumzo ya amani.
Hahahaa we jamaaUnazungumza na nani? Kwani CCM wanafuta hiyo sheria na katiba? Huu ni muda sahihi watuingize barabarani
Mungu ni MkubwaLabda itasaidia.
Tunaendelea kumpa muda. Ni mapema sana kuhukumu. Ngoja tuone..falsafa ya "44R"Maza aliitangaza mwaka mmoja tangu aingie madaraka.
..kwa hiyo tumepata muda wa kutosha kupima kama ni maneno ya kweli, au ulaghai wa kisiasa.
Napokea ila wanaudhi sana hao watu hawana vifua vya kuiishi democracy na constitutionality sasa upuuzi kama huo hauvumiliki, waibe uchaguzi then pia walete ufalme haikubalikiMkuu huwezi kutao maoni yako bila kutakana?
Sisi wapenda haki na amani ktk Nchi yetu hatuungi mkono maneno ya kashfa na kutweza watu.
Nimeelewa hasira yako inatokana na nini.Napokea ila wanaudhi sana hao watu hawana vifua vya kuiishi democracy na constitutionality sasa upuuzi kama huo hauvumiliki, waibe uchaguzi then pia walete ufalme haikubaliki
Haiwezekani nchi ikaendeshwa kwa kubembelezana. Nyonga kabisa Hao Liwe fundisho la wasiolitakia mema taifa hiliKwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa...
Shida kila mwanasiasa anaangalia tumbo lake kwanza. Lisu ameshahamisha familia yake ulaya. Slaa aliikimbia chadema kisa kulambishwa asali na jpm. Nani atawaamini tena Hawa wanasiasa. Ndo mana kila mtu anapaswa kushinda mechi zakeJana Kabinti ka ludilo alihoji ukimya wa CDM katika kuwamobilize watanzania. Mimi niongee ukweli kina Dr Slaa wanaumizwa sana na ukimya wa wa Tanzania...
Na hapa jukwa la siasa unatafuta nini sasa. Wewe Lumumba fc tuShida kila mwanasiasa anaangalia tumbo lake kwanza. Lisu ameshahamisha familia yake ulaya. Slaa aliikimbia chadema kisa kulambishwa asali na jpm. Nani atawaamini tena Hawa wanasiasa. Ndo mana kila mtu anapaswa kushinda mechi zake
Na hapa ndo utakubali kwamba mkataba wa bandari ulivuja Toka mvunguni na siyo kweli kwamba uliletwa hadharani tuujadili maana Hawa a hoja zaidi ya mabavu kiukweli wamekurupushwa hawakujipanga Kwa hiliHuyu pimbi aliamrisha huo upumbavu wa kukamata hao wazalendo atajuta sana mbwa huyo