Jukwaa la Katiba, Tume ya Haki za Binadamu na TLS watoa tamko kali kuachiwa mara moja akina Dkt. Slaa na Mwabukusi

Jukwaa la Katiba, Tume ya Haki za Binadamu na TLS watoa tamko kali kuachiwa mara moja akina Dkt. Slaa na Mwabukusi

Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa, Wakili Mwabukusi na Mwanaharakati Mdude Nyangali.

Sehemu ya tamko hilo inasema walikamatwa kwa tuhuma za uchochezi na baadae kubadilishiwa tuhuma kuwa za uhaini kitu kinachoonesha kuwa wanabambikiwa kosa kwa mijibu wa sheria za Kimataifa za upelelezi.

Hata hivyo wao kwa pamoja wanaamini kutoa maoni kuhusu mkataba wa DPW na Tanzania ni hako ya kila raia.

Wito wao kwa pamoja

1. Kuwaachia bila masharti kwa kuwa hawana hata dosari inayoonesha kosa la uhaini.

2. Wito kwa DCI ni kuwa imwachie mara moja Wakili Madeleka kwa kuwa wanaamini kukamatwa kwao kuna uhusiano na utoaji maoni kuhusu mkataba wa DPW na Tanzania.
3. Msisitizo umewekwa kuheshimu mapendekezo ya tume ya Haki Jinai ya Jaji Chande, kwa jeshi la polisi kutenda kwa weledi na kuepuka kubambikia keshi wananchi.
4. Wito kwa wanasiasa kuepuka kutoa matamko yanayochochea uvunjifu wa haki za binadamu.

Sikiliza mwenyewe hapa.

View: https://www.youtube.com/live/duzaiz4qjL4?feature=share

Tamko Kali au siyo? 😂😂😂😂😂
 
Angalia reaction ya vyama vingine vya upinzani ulimwenguni ni tofauti na CDM
Wewe unataka wachukue reaction gani zaidi ya unazoziona?

Cdm ni chama cha demokrasia kina amini katk mazungumzo ya amani.
 
Wewe unataka wachukue reaction gani zaidi ya unazoziona?

Cdm ni chama cha demokrasia kina amini katk mazungumzo ya amani.
Unazungumza na nani? Kwani CCM wanafuta hiyo sheria na katiba? Huu ni muda sahihi watuingize barabarani
 
..falsafa ya "44R"Maza aliitangaza mwaka mmoja tangu aingie madaraka.

..kwa hiyo tumepata muda wa kutosha kupima kama ni maneno ya kweli, au ulaghai wa kisiasa.
Tunaendelea kumpa muda. Ni mapema sana kuhukumu. Ngoja tuone
 
Mkuu huwezi kutao maoni yako bila kutakana?

Sisi wapenda haki na amani ktk Nchi yetu hatuungi mkono maneno ya kashfa na kutweza watu.
Napokea ila wanaudhi sana hao watu hawana vifua vya kuiishi democracy na constitutionality sasa upuuzi kama huo hauvumiliki, waibe uchaguzi then pia walete ufalme haikubaliki
 
Napokea ila wanaudhi sana hao watu hawana vifua vya kuiishi democracy na constitutionality sasa upuuzi kama huo hauvumiliki, waibe uchaguzi then pia walete ufalme haikubaliki
Nimeelewa hasira yako inatokana na nini.

Asante kwa kupokea ushauri
 
Kwa pamoja Jukwa la Katiba Tanzania, Tume ya haki za Binadamu, Tanganyika Law society na Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wametoa tamkonna kuitaka mamlaka za serikali kuwaachia huru watuhumiwa wa Uhaini Dr Wilbroad Peter Slaa...
Haiwezekani nchi ikaendeshwa kwa kubembelezana. Nyonga kabisa Hao Liwe fundisho la wasiolitakia mema taifa hili
 
Jana Kabinti ka ludilo alihoji ukimya wa CDM katika kuwamobilize watanzania. Mimi niongee ukweli kina Dr Slaa wanaumizwa sana na ukimya wa wa Tanzania...
Shida kila mwanasiasa anaangalia tumbo lake kwanza. Lisu ameshahamisha familia yake ulaya. Slaa aliikimbia chadema kisa kulambishwa asali na jpm. Nani atawaamini tena Hawa wanasiasa. Ndo mana kila mtu anapaswa kushinda mechi zake
 
Na hapa jukwa la siasa unatafuta nini sasa. Wewe Lumumba fc tu
 
Huyu pimbi aliamrisha huo upumbavu wa kukamata hao wazalendo atajuta sana mbwa huyo
Na hapa ndo utakubali kwamba mkataba wa bandari ulivuja Toka mvunguni na siyo kweli kwamba uliletwa hadharani tuujadili maana Hawa a hoja zaidi ya mabavu kiukweli wamekurupushwa hawakujipanga Kwa hili
 
Back
Top Bottom