Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Ndugu wana Jf:
Katika jukwaa hili la love connect naamini kwa walio timamu wanaelewe dhumuni ya hili jukwaa.
Lakini mtindo na tabia ya baadhi ya member wa humu Jf kufungua ID na kuanzisha thread kua wanatafuta wachumba, huku lengo lao likiwa ni ku enjoy watu, tabia hii si nzuri, haipendezi na ina fedhehesha watu, mkae mkijua kuna watu wana post thread wakiwa serious ila kutokana na utoto na ujinga, mnawaponza kutopata kutokana na watu wengi kufanya ni sehemu ya midhaa na kuhofia watu ku wa enjoy. Watu wengi hapa wanakuja na ID mpya tu ili mradi ku enjoy watu. Jamani tujilekebisheni kwa hili halipendezi na tusi vuluge maana harisi ya jukwaa na tusifanye hili jukwaa ni mahara pa masihara na utani.