salimkabora
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,441
- 652
Ewaaaaa unaona sasa unavyoweza kutema cheche baada ya kushiba. Kwa taarifa yako we mzee uliyeshiba Circumstantial evidence inaweza kutumika kumhukumu mtu, siyo lazima tufuate vifungu vya sheria. Umeipata??
Mtu kuongea ujinga wa mawazo yake hadharani ni dalili za kuishiwa kifikra huo ushahidi wako wa mazingira uko wapi sasa nimesema weka quotes wewe unapiga mdomo kama unaongoza kipindi cha komedi. Quote hizo evidence zako ziwe supports.