Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
- Thread starter
- #21
Ni kweli ndugu, hii tabia sio nzuri inafanya hata wengine waogope ku post hapa kwa ajili ya ujinga wa watu wachache
Waambie ismail
cc. smile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie ismail
cc. smile
Nami nakereka sana na watu wanaokuja kuweka tangazo na kusepa.
nashinda nampm hajibu kitu muwe sirias bana!!!!!!!!!!!!!!!!
Me mwanzoni nilidhania ni sehemu ambayo watu wako serious sana, na ingekuwa rahisi kumpata great thinker wa ukweli, kumbe ni usanii mtupuu.
Wengi wao wanaofanya haya ni wa humu humu tena ni Jf senior expert wanafungua ID then wanaanza ku enjoy watu. Haipendezi na ina kera
Mada ipi manake sijaona kama kuna mada umetoa zaidi ya kuongea unyonge wa mawazo yako kutaka kuwahukumu kina dada kwa kigezo tu cha kushinda jamvini bila hata kusindikiza hukumu yako na kifungu cha sheria toka vitabu vya kiimani au quote za wanafalsafa. Nyie ndio mada inawasema kazi yenu ni kuparamia na kuandika pumba kukatisha watu tamaa. Huna data unaleta mambo ya ujanjaujanja tu nimalize kula nini mimi nimefunga.wewe uko nje kabisa ya mada. Maliza kwanza kula ndio uje hapa!
Kwakweli wanatublokia njia sisi wenye shida na ndoa!!!!!!!!!
Dada angu usikate tamaa, wapo watu wa ukweli humu na wenye kujitambua, ila yakupasa kua mvumilivu na makini
Kwakweli wanatublokia njia sisi wenye shida na ndoa!!!!!!!!!
Usijali utapata, mwanaume alie bora, ila kua mvumilivu na uwe makini.
Hii ni sawa na kuuliza hivi mtu anayepanda daladala kila siku anaweza kuwa na nyumba nzuri manake havihusiani. Kama barmaid anaweza kuwa mke mwema sembuse mwana jamvi? tazameni makahaba wawatangulia kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
Ni kweli wapo , ila sasa kama jukwaa husika ndio hili limejaa jokes nadhani kuna haja ya kutafuta njia nyingine .
Ewaaaaa unaona sasa unavyoweza kutema cheche baada ya kushiba. Kwa taarifa yako we mzee uliyeshiba Circumstantial evidence inaweza kutumika kumhukumu mtu, siyo lazima tufuate vifungu vya sheria. Umeipata??Mada ipi manake sijaona kama kuna mada umetoa zaidi ya kuongea unyonge wa mawazo yako kutaka kuwahukumu kina dada kwa kigezo tu cha kushinda jamvini bila hata kusindikiza hukumu yako na kifungu cha sheria toka vitabu vya kiimani au quote za wanafalsafa. Nyie ndio mada inawasema kazi yenu ni kuparamia na kuandika pumba kukatisha watu tamaa. Huna data unaleta mambo ya ujanjaujanja tu nimalize kula nini mimi nimefunga.
kuna mdada alishaniambia kua alihangaika sana kutuma maombi hapa , akawa anakutana na wasanii, sasa amebadilisha njia anatumia pm, hahahaha.
Hivi msichana/mwanamke anayeshinda huku JF anaweza kuwa Mke Mwema???
Ndugu wana Jf:
Katika jukwaa hili la love connect naamini kwa walio timamu wanaelewe dhumuni ya hili jukwaa.
Lakini mtindo na tabia ya baadhi ya member wa humu Jf kufungua ID na kuanzisha thread kua wanatafuta wachumba, huku lengo lao likiwa ni ku enjoy watu, tabia hii si nzuri, haipendezi na ina fedhehesha watu, mkae mkijua kuna watu wana post thread wakiwa serious ila kutokana na utoto na ujinga, mnawaponza kutopata kutokana na watu wengi kufanya ni sehemu ya midhaa na kuhofia watu ku wa enjoy. Watu wengi hapa wanakuja na ID mpya tu ili mradi ku enjoy watu. Jamani tujilekebisheni kwa hili halipendezi na tusi vuluge maana harisi ya jukwaa na tusifanye hili jukwaa ni mahara pa masihara na utani.
Kumbe jibu unalo halafu umeamua tu kunitega hapa! They are referred as (Please underline or bold the following term): SHAROBARO!!!Hivi na hawa wanaume wanashinda jf nao wanaweza kuwa Husband material kweli??au masharobaro??
Hivi na hawa wanaume wanashinda jf nao wanaweza kuwa Husband material kweli??au masharobaro??
Yess boss!!!!!!!!
Kumbe jibu unalo halafu umeamua tu kunitega hapa! They are referred as (Please underline or bold the following term): SHAROBARO!!!
Naunga mkono hoja..Kuweni wastaarabu