Jukwaa La Mapishi, Food Corner

Jukwaa La Mapishi, Food Corner

Mkuu sijakupata hapa... Hapo kwenye tanduri unamaanisha kuwa tunatumia tandoori masala badala ya sindhi biryani masala au?? Semina kidogo ili jioni nizame kitchen
 
mapishi time,unapika chakula masaa matatu unakuja kukila kwa muda wa dakika tatu! Mie napenda kubonyea tu. Nalog off
 
dah hapa nimefika yani daaaah kweeeeli sikufanya makosa kuingia JF asee... aaaaah
 
Hii thread imenifanya mate kunitoka na kidogo nianze za mdogo wangu wa mwisho za kuomba msosi kwenye TV....
 
Chai ya Mkandaa

Jaza maji kwenye glasi moja na nusu, mimina kwenye sufuria , washa jiko lako la gas au umeme au mkaa n.k maji yakisha anza kutokota weka majani ya Chai robo kijiko cha chai baada ya sekunda kumi na tano zima jiko lako ipua na mimina kwenye kikombe cha chai sukari weka kama utakavyo kunywa bila kitu chochote

uenjoy...

Kha hata kama sijui kupika lakiniChai na Uji Naweza !!

Chai ya Mkndaa = Chai bila kitafunwa!
 
image.php
Wana'JF Wote wenye kupenda kula na kunywa kwa Afya Bora, hapa ndio sehemu yako. Wote mnakaribishwa ili kubadirishana uzowefu wa MAPISHI, Mahanjumati na Makulaji.

Jisikie Huru Kushirikiana na kila mwanachama katika kuboresha
RISHE Bora.
Aina zote za Mapishi yatapatikana hapa.

Shukrani
Karibuni Wote WanaJF
topchefs_s.jpg
Kabla sijaenda sana hebu boresha hilo neno. Hata ubongo una lishe yake, na mojawapo ni matamshi sahihi katika lugha sahihi
 
X-PASTER au mdau yeyote

naomba kujua mapishi mazuri ya uyoga na unaweza kula na chakula gani (main food) , rice,ugali or french fries
 
X-PASTER au mdau yeyote

naomba kujua mapishi mazuri ya uyoga na unaweza kula na chakula gani (main food) , rice,ugali or french fries
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.

Nwy unaweza ukatengeneza sauce yenye nyama au bila, unaweza ukaoka pamoja na nyama au samaki, na unaweza ukala na chochote kile unachopenda.

Ukitaka niambie nikupe recipe ya stew. . . nzuri sana kula na wali au viazi vya kuchemsha.
 
X-PASTER au mdau yeyote

naomba kujua mapishi mazuri ya uyoga na unaweza kula na chakula gani (main food) , rice,ugali or french fries
Nadhani umemsoma lizzy hapo, ila fahamu kuwa uyoga unaiva haraka sana, kama unataka kutengeneza sosi ya kulia Wali au Ugali, ni kama vile unavyopika mboga zingine tu... Mchicha au kabichi...!
 
Nadhani umemsoma lizzy hapo, ila fahamu kuwa uyoga unaiva haraka sana, kama unataka kutengeneza sosi ya kulia Wali au Ugali, ni kama vile unavyopika mboga zingine tu... Mchicha au kabichi...!

duu kumbe thanx mkuu..
 
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.

Nwy unaweza ukatengeneza sauce yenye nyama au bila, unaweza ukaoka pamoja na nyama au samaki, na unaweza ukala na chochote kile unachopenda.

Ukitaka niambie nikupe recipe ya stew. . . nzuri sana kula na wali au viazi vya kuchemsha.

bonge la jibu subiri kesho lazima niimaleze vizuri na hili pishi la uyoga..
 
bonge la jibu subiri kesho lazima niimaleze vizuri na hili pishi la uyoga..
Ndio hivyo mkuu, wakati mwingine unajaribu tu, michanganyiko mbali mbali... unaweza kuchanganya na wali, yaani kama vile unavyopika wali ukachanganya na vitunguu maji, (vilivyo kaangwa) hoho au ukatia korosho au mahindi matamu (sweet corn).
 
Kaka yangu hua anakaanga alafu anaula tu wenyewe.

Nwy unaweza ukatengeneza sauce yenye nyama au bila, unaweza ukaoka pamoja na nyama au samaki, na unaweza ukala na chochote kile unachopenda.

Ukitaka niambie nikupe recipe ya stew. . . nzuri sana kula na wali au viazi vya kuchemsha.

Lizzy

Ahsante sana dada yangu

please naomba unipatie recipe ya stew ya uyoga na pia ningependa kujua ninaweza pata wapi uyoga wa kienyeji (organic) unless otherwise nimeuona shoprite nikautamani sana ila nahisi huuni wa kisasa

@X-PASTER thanks for your addition
 
LAT kawaida yangu hua sipimi ingredients, ngoja kesho ntapika nipime alafu ntakwandikia nikuambatanishie na picha kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom